Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi sana mkuu, siyo kila anaye fungwa ni mkosefu.Pia ametuonesha kuwa wale wenye jukumu la kusimamia Sheria,hizo Sheria hawazijui na wanafanya vitu tu kwa mihemuko.Meaning kwamba huko magerezani tunaweza kuwa na watanzania wengi waliofungwa kimihemuko
Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Gambo alisha sema kuwa uvccm wengi wenu ni wanafiki sana na mkizeeka lazima mtakuwa wachawi.
Hujasikia idadi ya wagombea wanaotoa challenge kwa Magufuli? Au wewe unataka wa CHADEMA tu! Mbona hata mchumi Lipumba yupo anatoa challenge, tena ya uchumi ambalo ndo tatizo kubwa la nchi! Siyo huyo mtu wenu anayejua mahakamani tu na kutafuta haki za binadamu. Hana ajenda ya elimu, hana ajenda ya uchumi, hana ajenda ya sayansi ni kelele tu!Ndio ni shujaa wa zama zetu. Hebu tutajie mtu yeyote mwingine aliyeweza kumchalenge Jiwe bila woga kama tundu Lissu
Unaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumba
WATANZANIA wenye access ya internet Ni asilimia CHACHE Sana hawafiki hata 10% ya population yote ya TZ
SEHEMU KUBWA YA WATANZANIA WANAISHI VIJIJINI....
Kikubwa serikali ya Tanzania ufanye haraka kufanikisha Mfumo wa Raisi wa Urusi Putin Wana u adopt haraka ili waweze kutawala kwa muda mrefu zaidi...
Kuna makundi mengi katika jamii ambayo hayana Cha kupoteza kwao serikali iliyopo madarakani haijawai kugusa maisha yao in any positive way.....
KIKUBWA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI......
Hofu ya serikali iliyopo madarakani na WATANZANIA wengine Ni je ?
Tukiwapa wapinzani hii nchi hawata tu haribika nchi hii tukajikuta tunaikumbuka CCM?
Itoshe kusema kwamba upinzani Ni moyo upinzani Ni hisia upinzani hauzuiliwi kwa vitisho
Hii nchi itajengwa na akili kubwa tuanze na Mfumo wa ELIMU yetu
Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Huyu mtu ni Binadamu na Nusu!!! CCM hawana hamu nae 😂😂😂
ALIKUWEPO MREMA, LISSU NI NANI? MTU WA KAWAIDA ILA AMEKUJA KATIKA ZAMA TOFAUTI
Uchumi wanchi wakati sukari kilo 4500Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Kama kagame na museven alivo nyuma yenuHuyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Uchumi wanchi wakati sukari kilo 4500
UMENIFANYA NICHEKE PEKE YANGU, ANGEKUWA ANAJUA LISSU ASINGEGOMBEA CHOCHOTE ANGEANDAA MASHAMBULIZI YA 2025Lisu ni mwepesi sana kushindana na magufuri,saiz ya lisu ni madiwani na wenyekit wa mtaa huko
Inauma sana mkuuNimekupa thanks kwa sababu ya ku exercise your right of freedom of speech. Unayemuabudu anataka JF kuifungia hata juzi kama angekuwa na uwezo huo. Ungeyaongelea wapi haya. Huyu unayempachika kila aina ya jina humu ndani ndiye anayetaka kukupa uhuru wewe wa kujieleza unavotaka bila ya kuwa na hofu.
Hakuna mtukufu na mkubwa zaidi ya Mungu karibu kila binadamu anajuwa hilo japo wapo wengi imani zao haziruhusu kuanini hilo kwa mfano Pargans wakiwemo Wachina ndani yao ambao ni almost 40% ya world population. Lakini Mungu huyo aliye mkubwa zaidi ya kila kitu living and non living, tunamtukana na kumkashifu (atleast kwa baadhi yetu) na anatutizama tu bila ya ku unleash hasira zake papo kwa papo. Seuze binadamu anayekwenda chooni anataka kuchukuwa nafasi zaidi ya Mungu kuhukumu wenzake kwa kuelezwa madhaifu yake! Hapo ndipo Lissu anapopata CREDIT. Love him or hate him! Sijui kuna adahabu zaidi ya 16 bullets he has already had.
Natabiri hapa chini ya jua ipo siku isiyo na jina atapewa Tuzo ya NOBELI hifadhini kumbu kumbu tuombeane uzima na afyaTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253