Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Kwa kweli huwezi amini eti watanzania mamilioni tulikuwa tumemwachia Mungu tu🤣🤣🤣
Ni kichekesho kinachoumiza!!
 
Kwa kweli huwezi amini eti watanzania mamilioni tulikuwa tumemwachia Mungu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kichekesho kinachoumiza!!
Mungu ni mwema siku zote na sasa kasha tuondolea makando kando yote sasa tunaona lipi baya na zuri
 
Mungu tunakuomba uzidi kumtia nguvu mh Lissu ili atuvushe huu mto wenye kila mateso
 
Wewe kiboko kwa kunusa fursa nyalandu alikua hatoi kitu ghafla umegeuza uelekeo umehamia kwa Lissu!
Usiwapangie watu vya kufanya wewe nzi wa lumumba.mbona wewe ulimwita lowasa fisadi na sasa ni shujaa hapo Lumumba?
 
Inatagemea umri wako muandishi na makuzi uliyopitia si ajabu ulichoandika
 
Inatagemea umri wako muandishi na makuzi uliyopitia si ajabu ulichoandika
Kwako wewe maandishi mazuri ni kuisifia ccm? Una mawazo ya kikoloni sana ndugu jitambue maana wakati ndiyo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…