Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwema siku zote na sasa kasha tuondolea makando kando yote sasa tunaona lipi baya na zuriKwa kweli huwezi amini eti watanzania mamilioni tulikuwa tumemwachia Mungu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kichekesho kinachoumiza!!
Kama mlevi ameweza nani atashindwa? Hata wewe unawezaHizo ni ndoto chafu ,Mr.lisu hafai kuwa kiongozi katika level ya urais,anaweza kuibua mambo ila sio kutawala nchi
Wewe kiboko kwa kunusa fursa nyalandu alikua hatoi kitu ghafla umegeuza uelekeo umehamia kwa Lissu!Aliwazalo mjinga ndiyo umtokea, naona umezoea sana kupatiwa bundle na Chakubanga
Hawa ndiyo wakina Bob Marley wa kizazi hiking.Anastahili heshima iliyotukuka ameonesha ushupavu wa pekee Mungu aendelee kumlinda
Usiwapangie watu vya kufanya wewe nzi wa lumumba.mbona wewe ulimwita lowasa fisadi na sasa ni shujaa hapo Lumumba?Wewe kiboko kwa kunusa fursa nyalandu alikua hatoi kitu ghafla umegeuza uelekeo umehamia kwa Lissu!
Ebu mpe kura afu tuone kama atibua yasiyofaa!!Hizo ni ndoto chafu ,Mr.lisu hafai kuwa kiongozi katika level ya urais,anaweza kuibua mambo ila sio kutawala nchi
Mataga sasa mtatagishwa bila kupenda
Wape salaaaaaammmmm
Naona unaiwazia sana safari ya kurudi kwenu nyamadooke
Inatagemea umri wako muandishi na makuzi uliyopitia si ajabu ulichoandikaTangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253