Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Ukweli kabisa uchaguzi ungekuwa huru kabisa, Lissu aruhusiwe kutumia vyombo vya habari kwa uhuru kabisa.... JPM hafikishi hata kura lakimoja!!

Lissu angemtia aibu huyu mzee mwenye kiburi kisicho aibu kabisa!
 
Hahahah sisi tunawakera tu maana mnajifanya kujitoa ufahamu wa nani ni kiongozi bora tanzania,kimoyomoyo unajua,TUNAWAKERAAAAAA
Hivi hapo povu anatokwa nani? [emoji23][emoji23] naona mataga mnavyo nuna kama mmemeza chroloquine
 
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Hata Marehemu Mugabe alijigamba na kuwakashifu Wazalendo wa kweli huko Zimbabwe. Mwisho wake kila mmoja anafahamu nini kilitokea huko.
 
Hata Marehemu Mugabe alijigamba na kuwajashifu Wazalendo wa kweli huko Zimbabwe. Mwisho wake kila mmoja anafahamu nini kilitokea huko.
Hilo wanajifanya hawalioni maana wamevalishwa miwani ya mbao na Chakubanga
 
Hahahah sisi tunawakera tu maana mnajifanya kujitoa ufahamu wa nani ni kiongozi bora tanzania,kimoyomoyo unajua,TUNAWAKERAAAAAA
Wakati nyie madhumuni yenu ni kuwakera wenzenu cdm ina maanisha kuwa inajiandaa kuchukua na kuikomboa Tanzania
 
Historia itamkumbuka sana. Huyu mwamba kwa ujasiri alioonyesha naamin kabisa anaweza kupambana na mabeberu kwa vitendo sio Jiwe hata vikao vya international community anakimbia kisa tu hajiamini na hawezi kujieleza, wote tumemshuhudia miaka hii mitano akikimbia vikao vya kimataifa, matokeo yake nchi yetu imepoteza nguvu na ushawishi iliyokua nayo

Tundu Lissu ni mtu sahihi wa kuirudisha Tanzania kama nchi kiongozi.
Utoto tu! Amefanya nini zaidi ya Mtikila? Kuna watu hamujitambui kiasi kila mtu kwenu ni shujaa
 
Ukweli kabisa uchaguzi ungekuwa huru kabisa, Lissu aruhusiwe kutumia vyombo vya habari kwa uhuru kabisa.... JPM hafikishi hata kura kimoja!!

Lissu angemtia aibu huyu mzee mwenye kiburi kisicho aibu kabisa!
Pamoja na yoote hayo mkuu Lissu bado ni mtu pekee ambaye tunategemea kuvunja mwiko kwa kuiondosha ccm madarakani.

Hakuna lisilo wezekana kwenye siasa angalia mifano michache ya Zimbabwe na sudani
 
Back
Top Bottom