kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Mkuu kwema?Kama kawaida yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwema?Kama kawaida yenu
Duh...?Ujinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Hivi hapo povu anatokwa nani? [emoji23][emoji23] naona mataga mnavyo nuna kama mmemeza chroloquine
Endelea kuimba taarabu bwashee!Naona sasa mataga mmekubali mziki wa mh Lissu
Hata Marehemu Mugabe alijigamba na kuwakashifu Wazalendo wa kweli huko Zimbabwe. Mwisho wake kila mmoja anafahamu nini kilitokea huko.Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Wakati nyie madhumuni yenu ni kuwakera wenzenu cdm ina maanisha kuwa inajiandaa kuchukua na kuikomboa TanzaniaHahahah sisi tunawakera tu maana mnajifanya kujitoa ufahamu wa nani ni kiongozi bora tanzania,kimoyomoyo unajua,TUNAWAKERAAAAAA
Utoto tu! Amefanya nini zaidi ya Mtikila? Kuna watu hamujitambui kiasi kila mtu kwenu ni shujaaHistoria itamkumbuka sana. Huyu mwamba kwa ujasiri alioonyesha naamin kabisa anaweza kupambana na mabeberu kwa vitendo sio Jiwe hata vikao vya international community anakimbia kisa tu hajiamini na hawezi kujieleza, wote tumemshuhudia miaka hii mitano akikimbia vikao vya kimataifa, matokeo yake nchi yetu imepoteza nguvu na ushawishi iliyokua nayo
Tundu Lissu ni mtu sahihi wa kuirudisha Tanzania kama nchi kiongozi.
Yohana kwani na wewe ni MATAGA?Endelea kuimba taarabu bwashee!
Na nchi safar hii tunaichukua ..watashangaa na roho zaoWakati nyie madhumuni yenu ni kuwakera wenzenu cdm ina maanisha kuwa inajiandaa kuchukua na kuikomboa Tanzania
Pamoja na yoote hayo mkuu Lissu bado ni mtu pekee ambaye tunategemea kuvunja mwiko kwa kuiondosha ccm madarakani.Ukweli kabisa uchaguzi ungekuwa huru kabisa, Lissu aruhusiwe kutumia vyombo vya habari kwa uhuru kabisa.... JPM hafikishi hata kura kimoja!!
Lissu angemtia aibu huyu mzee mwenye kiburi kisicho aibu kabisa!
Mi niko idodomya leo ndo tunarudi dar na msafara wa mhe.LissuKwema kiongozi, nipo tena kulisongesha mkuu kwa kupambana na wapotoshaji wakuu kutoka lumumba
Nenda Chamwino huko, mwenyekigoda safari za msalani ni za mfululizo break zimefeliMnajitekenya mnacheka wenyewe kama mazombi vile.