johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata mimi huwa naensa kuwahoji katika maongezi ya kawaida tu. Nyir ndio mnayakuza.
Labda anataka kufungua biashara kariakoo
Yanakuhusu ninisasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara kariakoo
Yanakuhusu nini
Kwani anayegombea urais haruhusiwi kufungua biashara? Tena huyu anafungua kwa uwazi sio wanaofanya biashara kwa kupitia shemeji au mume mwenza tena na kujipa tenda bila kutangazwa za serikalisasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara kariakoo
Utashangaa jinsi kutakavyo zaliwa tabia ya kuona aibu kukwepa kodi nchi hii.Lisu akiwa Rais hakuna atayelipa kodi na wote tutajua kingereza.
Tangaza nchi ya chama kimoja basiSuch a waste kua na mwananchi kama huyo, leo naona akili imemkaa vizuri kaanza kujua umuhimu wa miundo mbinu! kapanda mwendo kasi akili zimemkaa vizuri, Anasababisha tu hate kwenye nchi!
Au unajua Hana uwezo kwakuwa hamkumlipa stahiki zake na kazi yake mlimpora kikatili.sasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara kariakoo
Hehehe aibu yako. Anakuja kuwa rais hama nchi tu mapema.Lisu akiwa Rais hakuna atayelipa kodi na wote tutajua kingereza.
Wasiojulikana zaidi ya wanne na risasi full magazine walishindwa maneno yako ndio hata hayamfanyo chochotenashangaa wasiojulikana walikosea nn kwenye yale maelezo