Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Mi sidhan kama kuna shida hapo nadhani hata ww unaweza kwenda karikoo ukawauliza wale jamaa na ukapata majibu
 
Na kesho atakuwa uw Taifa!!🤣🤣🤣aende tu Na FIESTA yake.Wanavijiji awali flyover na madaraja au intersections au mapantoni!! 2020 is Fucking the Wrong Ninger for You and your Chama🤣🤣🤣🤣

You talk too much, haya apa bila wasanii
1602181358123.png
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Kama Tundu Lissu
 
Rais mtarajiwa wa JMT
 
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu PhD zinazidi kudhalilika
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Labda nikuulize pia na wewe unahoji hilo la Lisu kama nani?
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
na wewe unahoji kuhoji kwa Tundu Lisu kama nani?
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!

Kama mlipa kodi
 
Back
Top Bottom