ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Au kama wanavyokiita wengine kule Znz, Chanzo Cha MatatizoTunataka kizazi Cha kuhoji. Tundu Lissu kaonyesha njia.
MAGUFULI anataka kutuziba mdomo, anunue ndege Kama karanga tusiulize kwanini Hilo Jambo halikupitia bungeni.
Mnataka tuwe MAZEZETA Kama mlivyo wa CHAMA CHA MAZEZETA?