Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Mkuu unaanza kuchanganyikiwa sasa,hueleweki.
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunataka kizazi Cha kuhoji. Tundu Lissu kaonyesha njia.
MAGUFULI anataka kutuziba mdomo, anunue ndege Kama karanga tusiulize kwanini Hilo Jambo halikupitia bungeni.
Mnataka tuwe MAZEZETA Kama mlivyo wa CHAMA CHA MAZEZETA?
Tuelezeni kwanza ruzuku ya chama ilivyotumika, yale makato ya bil nane za wabunge ziko wapi?
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
wewe unahoji kama nani
 
[/QUO.....je nikosa FUNDI mwashi kuulizia bei ya vifaa vya ujenzi?
 
ndani ya moyo wako,unajua lipi jema na lipi baya! ndani ya moyo wako unajua kama ao unaowatetea wanatenda haki mbele ya Mungu au wanatesa na kuua wasio na Hatia,ndani ya moyo wako unajua adhabu ya wauaji na wanaomwaga damu zisizo na hatia,ndani ya moyo wako unajua kama haya unayotetea ndivyo anavyotaka Mungu unaemwabudu au la.So sina cha kusema zaidi!! Mwenyezi Mungu akujalie wewe na wote wenye akili tope kama wewe lahaana ya milele

MM sio nlioweka hayo maamuzi, alafu kingine naomba aongezewe kesi ya kutukana mapolisi, mambo ya kusema sjui mapolisi majinga utadhan amani ya tanzania anaishuhulikia yeye, aongezewe kesi ingine juu ya apo, sjui ni kifungu gan ila sjapendezwa anavotukana ! Jinsi Tanzania tunaishi kwa amani alafu unasema majinga tafadhali aongezewe hii kesi, hayo mengine ya Laaana wacha Mungu ndo mtoa hukumu, kama aliiumba watu watukanwe ivi yeye ndo atadecide
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo yana chama according to Mh. Magufuli
 
Aseee..!
Mtoa mada sikusomi na sikuelewi mpaka uchaguzi upite.
 
Kesi dhurumati🤣🤣🤣Yaani katika wagombea woote wa kwao tu ndo wanajua kujaza forms vizuri...yana mwisho

yana mwisho pia kudhan unajua sheria tanzania nzima na kutokana mapolisi (majinga haya)!
 
Wewe unatoa wapi uhalali wa kuhoji Lisu juu ya kuhoji mapungufu ya CCM?

we kweli minyoo, unaulizwa swali lililomcost unaanzisha mpasho! ccm imeingia aje kwenye hili swali sasa
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
ANAHOJI KAMA MFA MAJI ANAYETAPATAPA
 
Wewe unahoji kama nani
 
Kama mgombea urais.

Kama kiongozi wa chama cha upinzani.

Kama Mtanzania.

Kwani kuna katazo la Watanzania kubadilishana mawazo kuhusu kazi zao?
 
Back
Top Bottom