Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Wewe unafanyia kampeni ya CCM uvunguni? Kwani hapo unapoandikia ujinga wako si ni online? Mgombea wa CCM ndiyo habebeki mnatumia Polisiccm kulazimisha kupendwa

1602156156337.png

Numbers dont lie
 
Nafkiri wewe ndiye tunatakiwa kukuliza unahoji kitendo hicho cha Lissu ukiwa kama nani???? Zaidi ya yote naona ni wewe pekeako ndo hujuwi Lissu ni nani katika jamii yetu, lakini wengine tunajua Lissu ni nani!
Kwanza ifahamike kwamba kodi inayokusanywa na serikali ni fedha umma, ndio maana hupelekwa moja kwa kwenye miradi ya maendeleo na pia kulipa mishahara watumishi wa umma.
Sasa kama kodi ni mali umma, kumbe kila mwananchi ana haki ya kuhoji chochote kuhusu malipo mpaka matumizi yake!
 
Aanataka kuanza biashara ya mitumba, sasa kama mfanya biashara mpya lazima ujue kodi utalipaje? Au unaonaje mteja wake?
 
ndo tatizo la kujiona mjuaji, unakuta unaongea mpaka vitu vya ajab! sasa kilichomtuma kusema wakurugenzi wameitwa dodoma ni nan? unaona sasa kilichomponza, ushahidi hana! wacha kesi zimuandame tu
Hapo ulipo huna Ubongo wewe nini mbumbumbu huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM umejitoa fahamu zote hata uambiwe nini utaona wanaokusoa wanajifanya wajuaji, kesi zote ni haramu hakuna ushahidi
 
Nafkiri wewe ndiye tunatakiwa kukuliza unahoji kitendo hicho cha Lissu ukiwa kama nani???? Zaidi ya yote naona ni wewe pekeako ndo hujuwi Lissu ni nani katika jamii yetu, lakini wengine tunajua Lissu ni nani!
Kwanza ifahamike kwamba kodi inayokusanywa na serikali ni fedha umma, ndio maana hupelekwa moja kwa kwenye miradi ya maendeleo na pia kulipa mishahara watumishi wa umma.
Sasa kama kodi ni mali umma, kumbe kila mwananchi ana haki ya kuhoji chochote kuhusu malipo mpaka matumizi yake!
Sasa anahubiri kuondoa kodi gani wakati hajui lolote kuhusu kodi?
 
Huyo kibaraka wa beberu si alisema anataka kufuta kodi, wabelgiji wampe pesa za kuendesha nchi?. Ziara yake kariakoo,ni kutafuta attention za kijinga kabisa.
Wewe kibaraka wa chato acha ujinga kwani huko ubelgiji bila wewe kumpiga angefikaje? Attention za kijinga unazo wewe kwani Lisu ka kulazimisha kuwa attention?
 
Amewahoji ili apate hoja kwenye kampeni...
 
Sasa anahubiri kuondoa kodi gani wakati hajui lolote kuhusu kodi?
Wapi ulipoambiwa hajuwi lolote kuhusu kodi??? Kwasasa yeye presidential candidate, anawezaenda kuuliza ili kupata taarifa sahihi ya ili atakaposhusha nondo, watu wasianze kusema kaongea vitu visivyo sahihi au visivyothibitika! Shida tu kumkwamisha katika vita!
 
Hapo ulipo huna Ubongo wewe nini mbumbumbu huna unachokijua zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM umejitoa fahamu zote hata uambiwe nini utaona wanaokusoa wanajifanya wajuaji, kesi zote ni haramu hakuna ushahidi

lissu ametoa wap ushahidi wa kusema wakurugenzi wameitwa dodoma?
 
Suala la kulipa kodi tusilichukulie kirahisi na tusilichukulie kisiasa.
Wafanyabiashara wanatakiwa kulipa kodi stahiki. Ili biashara ziendelee kuwepo. Na si vinginevyo
 
Nchi ina miaka zaidi ya 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za walipa kodi pesa za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kuwabambikia kesi kuwahujumu chadema na kuua upinzani badala ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom