Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Tatizo la huyu mpuuzi toka Lumumba hajawahi fanya Biashara yoyote ndo maana anaona mtu kuhoji mambo ya Kodi/TRA kwake ni kosa la jinai!!
Pambaf zake!
Halafu why Jamii forum inatoa mwanya kwa mtu kama huyu kila siku anaandika threads ambazo ni hopeless everyday na ambazo hazijengi critical thinking ya mtu zaidi ya kumpotezea uwezo wa kufikiri sawasawa?
 
Mtu ambaye hajui hata mifumo ya nchi ikoje, ataweza kuwa raisi kweli? Lissu yuko anatetea maslahi ya beberu tu, yaani anaijua Amsterdam vizuri kuliko Kariakoo! Hafai kabisa kuwa raisi, magu 5 tena
 
Halafu why Jamii forum inatoa mwanya kwa mtu kama huyu kila siku anaandika threads ambazo ni hopeless everyday na ambazo hazijengi critical thinking ya mtu zaidi ya kumpotezea uwezo wa kufikiri sawasawa?
Alafu kuna nyuzi za maana tukiziweka humu, ama zinafutwa au zinaunganishwa! Why pumba ndo zinabakishwa tu humu?!
 
Unajua Jo umejaa upumbavu mwingi sana halafu wala huoni aibu kuonesha kiwango chako cha upumbavu
Anajua tu sema ni kazi yake sasa atafanyaje?? Kuna watu wana kazi ngumu moja wapo ni hii ya kuwa idiot...[emoji23][emoji23][emoji23] sijui sasa kama wameongezewa zaidi ya buku 7
 
Alafu kuna nyuzi za maana tukiziweka humu, ama zinafutwa au zinaunganishwa! Why pumba ndo zinabakishwa tu humu?!
Exactly! Jamii forum inaonekana wanapenda ku entertain upuuzi,Binadamu yeyote akikosa akili na utashi anakuwa hana tofauti na wanyama,na ndivyo vitu pekee Mungu alivyoviumba kututofautisha na viumbe wengine-Na ndiyo maana akasema mwanadamu atatawala wanyama na vinginevyo akiamini ametupa akili na utashi.Mtu ukikosa akili na utashi lazima utawaliwe hamna namna-Haiwezekan mtu unaambiwa kitambulisho cha machinga kinaombea mkopo alafu unakubali na kushabikia bila mang'amuzi yoyote kuhusu ukweli na uhalisia.
 
Alafu kuna nyuzi za maana tukiziweka humu, ama zinafutwa au zinaunganishwa! Why pumba ndo zinabakishwa tu humu?!

santesandy,
Tangu Kampeni za Uchaguzi zianze na Mhe. Tundu Lissu aonekane ni tishio kwa Rais Magufuli...Kuna threads nyingi sana Moderators wazinabania ili kumlinda Magufuli asidhalilike.Mfano:
Niliweka uzi unaonesha mitaxamo tofauti ya KUHUSU MAENDELEO kati ya Mhe. Lissu na Magufuli....ulidumu kwa dakika kadhaa tu ukawekwa kapuni...!!!
 
Kila mtu ni wajibu wake kulipa Kodi na wajibu wa kiongozi ni kutotumia vibaya Kodi zetu pa sipo tija mfano manunuzi ya waunga juhudi,marejeo ya chaguzi,kukandamizia demokrasia.
 
Kila mtu ni wajibu wake kulipa Kodi na wajibu wa kiongozi ni kutotumia vibaya Kodi zetu pa sipo tija mfano manunuzi ya waunga juhudi,marejeo ya chaguzi,kukandamizia demokrasia.
Hawa jamaa for years wametuona sisi kama makanjanja,This time tutaelewana tu
 
Ni sehemu ya ushamba tu kwa sababu yuko Bungeni kwa muda mrefu. Maswali yake alistahili kuyauliza siku nyingi bungeni na hata kuwaelimisha jimboni ambako alikuwa ni mbunge.
 
Maoni ya mhariri!
Dah we jamaaa inaonekana kula yako ni kukaa nyuma ya keyboard na kuandkka upuuz dizaini yoyote ilimradi maboss wako wafurahi. Sasa hapa umeandika nn baada ya mimi kukupa facts
 
Ni sehemu ya ushamba tu kwa sababu yuko Bungeni kwa muda mrefu. Maswali yake alistahili kuyauliza siku nyingi bungeni na hata kuwaelimisha jimboni ambako alikuwa ni mbunge.
Hata chama tawala wako madarakani miaka mingi sana ila kuna barabara zinatolewa amri kujengwa mpk raisi akipita kwenye kampeni. Nadhani ushamba huu utakua wa next level
 
Hata mamako akitaka kuwahoji, ruksa tu. Sheria za nchi hii hazikatazi.
 
Swali la kijinga na la kipumbavu sana hili....

Na wewe unatuletea na kutuuliza swali hili sisi wewe ukiwa kama nani?

Jibu lako kwa swali hili ndilo jibu la swali ulilouliza. Ukikaa kimya au ukitukana vyovyote vile ndilo litakuwa jibu lako pia....!!
 
Back
Top Bottom