Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
K
Kwani were hujui no mgombea urais yuko kwenye fact finding?Hivyo ndiyo ilipaswa kuwa hata kwa mheshimiwa sana afuatilie hali halisi ya watu wake kuliko kusema Tu msipo chagua Silinde Hamta pata maji.Nawao sijui hawata lipa kodi?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!