Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Watu ka wewe mmejaa sana bongo ndiyo maana nchi haiendelei, yeye ni mtanzania hutaki aulize watu wanalipaje kodi? Ukiishi kimbumbumbu hivyo hutaki kujua mambo yanayoendelea utakufa masikini
 
Mwanasheria anayetaka viongozi wa nchi wafuate sheria ila yeye hafuati hii ni ishara mbaya. Mtu mmoja akipewa hukumu ya kuiba akafungwa kama mlinzi wa geti mnataka kusema endapo alikuwa mchungaji itabidi atoke gerezani kwa cheo cha uchungaji akahubiri? Ila hii nchi ina kazi watu hadi wafikiri mambo vyema tunahitaji 100yrs.
 
Ni kama yule aliyefanya ufunguzi wa garimoshi kule Tanzania juu
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Source ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Wewe umehoji kama nani?
 
Umesahau tukukumbushe Lissu ni nani?
"LISSU NI WAKILI MSOMI".
Kama una swali jingine uliza.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Source ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Mataga mnajiona hii nchi ni ya mama. Zenu eee?
Pumbavy
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Source ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Hata mimi huwahoji wafanyabiashara jinsi wanavyolipa kodi ili nijue, nawe ukitaka nenda ofisi za TRA utapata maelezo ya jinsi unavyolipa kodi, hakuna kosa hapo ungependa liwepo.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Source ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Kama mtafiti. Huwezi kutafuta suluhisho la tatizo bila kulijua tatizo kwa undani. Siyo kama jiwe anatengeneza tatizo halafu analitatua. Angalia tatizo la Ualimu wa Cheti. Jiwe anakurupuka sana.
 
Mwanasheria anayetaka viongozi wa nchi wafuate sheria ila yeye hafuati hii ni ishara mbaya. Mtu mmoja akipewa hukumu ya kuiba akafungwa kama mlinzi wa geti mnataka kusema endapo alikuwa mchungaji itabidi atoke gerezani kwa cheo cha uchungaji akahubiri? Ila hii nchi ina kazi watu hadi wafikiri mambo vyema tunahitaji 100yrs.
Watu acheni unafiki,nyie ndo jamii ile isiyopenda haki,hukumu yenyewe inalengo la kumbeba mpinzani wake.Mbali na madhila yote mliyompitisha bado mnatamani kuona akiendelea kuteseka.Kwa bahati yenu mbaya ni kuwa pamoja na roho zenu mbaya mnaenda kuondoka hivi karibuni.
 
Kwani wewe ni nani wa kuhoji mambo ya Lisu kwenye nchi hii?

Na kuhoji huko kinakusudia nini na kwa faida ya nani?

Tuanzie hapo kwanza
 
Alishawahi kuhoji wizi wa billion 8 za michango ya wabunge wa Chadema?
Ruzuku mnazo singizia kutumika vibaya matunda take ndio yanafanya mnamwogopa mnaye msingizia,viongozi wenzake,wanachama wao na hats Sasa mnaviogopa hats vivuli vyenu wenyewe.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Source ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Husein Mwinyi anawahoji wa Zanzibar nyumba kwa nyumba akiwa kama nani, hapo ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikili.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Source ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
Ni heri baba yako angekuflash chooni tu kwa master B.
Sasa unachoshangaa nini hapo?
 
Back
Top Bottom