antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mwananchi,My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani
Mgombea urais,
Rais mtarajiwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwananchi,My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani
Mkuu unaanza kuchanganyikiwa sasa,hueleweki.Lissu anaweza akawa ana pointi za msingi sana za maisha ya wananchi ila the way he acts kwa binadam wengine ni kama wengine ni takataka, sasa kwenye issue kama izi Mungu anafanyaga ufundi wake vizuri, anasema! UKijishusha anakuinua, ukijipandisha jiandae kupata aibu
Hata swali ni maoni pia bwashee!Hiyo "My take" itendee haki acha umburula. Ulitakiwa utoe maoni yako sio unauliza swali.
Hahahaaaa...... Umeshapanic meku!Unajua Jo umejaa upumbavu mwingi sana halafu wala huoni aibu kuonesha kiwango chako cha upumbavu
Kama mfanyabiashara!Na wewe unauliza maswali kuhusu lissu kama nani?
Tundu Lisu ana tatizo la " memory" by komredi Polepole!Na hiyo ni aina Fulani ya ugonjwa wa akili. Kwa lugha ya kimombo umenitoka kidogo Ila kwa lugha yetu ya kienyeji unaitwa Mpunyenye fidofido!
Sio account yako Mashana Jr hiiUnajua Jo umejaa upumbav u mwingi sana halafu wala huoni aibu kuonesha kiwango chako cha upumbavu
Kama Mtanzania mwenye haki na nchi yake kama alivyo MagufuliMakamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Wakili msomi aliyesema atapunguza kodi wakati hajui zinalipwaje?!!Umesahau tukukumbushe Lissu ni nani?
"LISSU NI WAKILI MSOMI".
Kama una swali jingine uliza.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Kama raia wa nchi hii, katiba haimkatazi.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Kufikili = KufikiriKwani Husein Mwinyi anawahoji wa Zanzibar nyumba kwa nyumba akiwa kama nani, hapo ndipo ulipoishia uwezo wako wa kufikili.
Mbona majukwaani huwa anapayuka atapunguza kodi? Kumbe hajui hata kodi yenyewe inavyolipwa?!!!Wewe ni pumbaaaf......!!!
Lissu ana HAKI ya kuwahoji wafanyaboashara wanalipaje Kodi kama Makamu Mwenyekiti CHADEMA chama Kikuu Cha Upinzani kinachotegemewa kuchukua dola....! Upo??
opinionHata swali ni maoni pia bwashee!