Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
tulia asimame jukwaani na jiweLisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
acha ukabila na roho mbaya wasukuma waliwezaje kumtumia bwana yuleLissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Kila mwaka manakuja na aliyetabiliwaNdio huyu alietabiriwa
Tume iliyopo ni huru sanaKwa Tume hii hii ya Uchaguzi?
Hawanaga msimamo hawaKwani Tume huru imeshapatikana?
kwani nyie mnahaja nayoKwani Tume huru imeshapatikana?
Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata vionoLissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
endelea kutegea sikio Jf ( jukwaa la siasa )Ataongea moja kwa moja kutokea wapi bwashee?!