Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

akipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Na gongo lake!
 
Taratibu jamani,mtasababisha maambukizi ya Korona yaanzwe kutangazwa tena na mipaka ifungwe ili tu huyu Mwamba asikanyage hii ardhi
ubavu wa kukanyaga hii ardhi hana labda kama atagombea akiwa huko huko
 
Mambo mabaya kiaje huyu lisu ashinde urais itakuwa aibu kwa taifa
Huwa nakufananisha na Chemical Ally kama sikosei! Hata mambo yakiwa mabaya yeye anasema tu yapo mazuri. Kazi kweli kweli!
 
akipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
Mhhhhhhhh
 
Maajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .

Kaandika barua au kachukua fomu? Au mchakato ndani ya CHADEMA huanza hiyo kwa kuandika barua?
 
Back
Top Bottom