USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Atasimama au atashikiliwa maana kusimama wima tu hawezitulia asimame jukwaani na jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atasimama au atashikiliwa maana kusimama wima tu hawezitulia asimame jukwaani na jiwe
Taratibu jamani,mtasababisha maambukizi ya Korona yaanzwe kutangazwa tena na mipaka ifungwe ili tu huyu Mwamba asikanyage hii ardhi
acha ukabila na roho mbaya wasukuma waliwezaje kumtumia bwana yule
Na gongo lake!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Akitua tu bongo pingu maana alikimbia dhamanaMsanii tu huyo ameamua kula hela za kina mangi, kwanza anakesi mahakamani ya kukiuka dhamana kwa ilo anakosa sifa ya ugombea.
Huwa nakufananisha na Chemical Ally kama sikosei! Hata mambo yakiwa mabaya yeye anasema tu yapo mazuri. Kazi kweli kweli!Lisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
Sasa aibu ya Lissu uione wewe si ndiyo uwenda wazimu huoLisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
Kwani Ikulu anaenda kubeba mawe...?tunahitaji kichwa sio mwili..mwili ni wake na mkewe...Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
ubavu wa kukanyaga hii ardhi hana labda kama atagombea akiwa huko hukoTaratibu jamani,mtasababisha maambukizi ya Korona yaanzwe kutangazwa tena na mipaka ifungwe ili tu huyu Mwamba asikanyage hii ardhi
Huwa nakufananisha na Chemical Ally kama sikosei! Hata mambo yakiwa mabaya yeye anasema tu yapo mazuri. Kazi kweli kweli!
Inogile xnAmen, ngoma inogile
Mhhhhhhhhakipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Uwazimu huo vipi. Unaaashwa wewe sio siri unatafuta wa kukukuna humuSasa aibu ya Lissu uione wewe si ndiyo uwenda wazimu huo
Chemical Ali mtupu!Mambo mabaya kiaje huyu lisu ashinde urais itakuwa aibu kwa taifa
Wewe hilo dole ndio mmeo hapoUnajisikiaje kumuweka mwanaume mwenzako kwenye pf?
Chemical Ali mtupu!
Endelea kuotaubavu wa kukanyaga hii ardhi hana labda kama atagombea akiwa huko huko