LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Asije kuwaacha Chadema kwenye mataa kwa kisingizio cha usalama wakehabari njema kwa Watanzania na wanademokrasia nchini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asije kuwaacha Chadema kwenye mataa kwa kisingizio cha usalama wakehabari njema kwa Watanzania na wanademokrasia nchini
Wenye akili tutamchagua lissuLisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
Sio nyie mlisema ameshapona arudi tz?Lissu Ana tamaa Sana na madaraka, NDUGU zake wamshauri ajitibie kwanza.
Kakobe alishamtabiri Mrema,yule mwingine wa mipasho alishamtabiri LowassaKila mwaka manakuja na aliyetabiliwa
Na hilo linawezekanaNa hizo atazisomba sana tu.Jpm Mbele ya lissu ana kibarua cha ziada, labda amwagize mwenyekiti Wa tume Siku ya lissu kuchukua fomu afunge ofisi kama walivyofanya watendaji serikali za mitaa.
Hujafa hujaumbikaLisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Kama machizi wanaruhusiwa kupiga kura watafanya hivyoakipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
Wasiokuwa na tamaa wote mwaka huu hawatagombea nafasi yoyote ya uongoziLissu Ana tamaa Sana na madaraka, NDUGU zake wamshauri ajitibie kwanza.
Katiba inaemaje?Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Wewe mwenyewe ni ajabu la aina yake,Maajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
Kwa hiyo kwako walemavu hawawezi kuongoza nchi..!??Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Kwani Lissu ni mlemavu wa akili kama ilivyo won ni sith noitaN ?Kwa hiyo kwako walemavu hawawezi kuongoza nchi..!??
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Kwani anaye ongoza sasa ni mkamilifu au wewe mwenyewe unauhakika wa kuishi milele bila kupata kilema acha hizo badilikaLissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.