Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Tanzania tayari tunaye Rais ambaye ni JPM hata wagombea wengine wanalitambua hilo Kama kuna mtu anabisha tukutanae October.
 
Hii habari si njema sana upande wa tatu,watu watapata shinikizo la damu kabla ya October
 
Na hizo atazisomba sana tu.Jpm Mbele ya lissu ana kibarua cha ziada, labda amwagize mwenyekiti Wa tume Siku ya lissu kuchukua fomu afunge ofisi kama walivyofanya watendaji serikali za mitaa.
Na hilo linawezekana
 
Kama machizi wanaruhusiwa kupiga kura watafanya hivyo
 
na uandaliwe mdahalo kwa lugha ya malkia kati ya jiwe na lisu...atakayejiuma uma arudi kijijini akalime!.
 
Maajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
Wewe mwenyewe ni ajabu la aina yake,
Japokuwa na elimu yote uliyopewa, taarifa zote ulizopewa dhidi ya wizi wa ccm lakini bado umeamua kujitoa fahamu, na kuipigia debe[emoji24][emoji24][emoji24] Badilika kijana acha kuwa na ukichwa maji
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Kwa hiyo kwako walemavu hawawezi kuongoza nchi..!??
 
Lissu for Presidency
Sioni sababu yoyote ya Lissu kutoingia white house October/November
HATAWAIBE VIPI,
 

Ataongea na wananchi gani hao kwani mikutano imeruhusiwa?
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Kwani anaye ongoza sasa ni mkamilifu au wewe mwenyewe unauhakika wa kuishi milele bila kupata kilema acha hizo badilika
Acha ukabila mlevi wa siasa chafu wewe mtoto wa Obia
 
Propaganda pembeni ,Lissu yuko vizuri. Huyu bila shaka anaweza kujenga Tanzania iliyo na strong instituitions ,utawala wa sheria, na kuimarisha demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…