OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
we unamwona mzima yule?πππ
Utakuwa mtoto wewe kibaki 2002 hapo Kenya aliapishwa na kukagua gwaride akiwa kwenye wheelchairLisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Hapo sawa maamuzi sahii Mr President lisuKuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
habari njema kwa Watanzania na wanademokrasia nchini
Amen, ngoma inogile
Mbona amiri wenu alijificha kukimbia vita ya coronaLisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Mungu alituletea cdm na akatuletea mh LissuNdio huyu alietabiriwa
Kwa Tume hii hii ya Uchaguzi?
Hoja mfuAtasimama au atashikiliwa maana kusimama wima tu hawezi
Kwani Tume huru imeshapatikana?
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
tulia asimame jukwaani na jiwe
Ivoivo, mpaka mtoe hewa chafu makalioniNa gongo lake!
Atapata kura moja tu (ile ya kwake).Lisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
Taratibu jamani,mtasababisha maambukizi ya Korona yaanzwe kutangazwa tena na mipaka ifungwe ili tu huyu Mwamba asikanyage hii ardhi
acha ukabila na roho mbaya wasukuma waliwezaje kumtumia bwana yule
Msanii tu huyo ameamua kula hela za kina mangi, kwanza anakesi mahakamani ya kukiuka dhamana kwa ilo anakosa sifa ya ugombea.