Mataga nitaftieni uzi wa kumsifu magufuli wenye likes zaid ya 70.
Hii ni habari njema ccm na tume yao wataipata!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Mkuu nani huyo mwizi? By the way kwa serikali hii ya JPM sidhani kama kuna majizi ,maana yote yamekimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamwogopa sana,marisasi yale yoteIna maana wanamuogopa mh Lissu kuliko kukosa watalii?
siku zote najua toyota Rav4 ni gari nzuri lakini nikiambiwa nikaangalie mashindano kati ya Toyota Rav4 na Toyota Landcruiser hard top; wala sitapoteza muda wangu kwani hayo mashindano yatakuwa ni kama kuangalia chita akishindana mbio na mbuzi...hizo mbio wala hazina haja ya refa....kwasababu matokeo yanajulikana..... iLA haimaanishi kuwa toyota Rav4 ni gari baya; is just wrong match...Ina maana wanamuogopa mh Lissu kuliko kukosa watalii?
Bila tume huru tutampaje kura???
Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Hata akiwa ICU au akiwa anaongea akiwa kwenye ambulance, yule jamaa yako hawezi kufikia kiwango cha kujenga hoja kama cha Lissu.Atasimama au atashikiliwa maana kusimama wima tu hawezi
Kuna mtu kawatuma mje mjaribu upepo? Mwambieni aliyewatuma hatugawi nchi kwa hurumaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Walitaka Lissu awe kaburini.....lakini Leo lissu yupo hai; anaongea na anatembea mwenyewe baada ya zile risasi za Sub machine gun 38 za mashetani kumvunja vinja viungo vyake ..lakini u hai leo na anakuja kuwa Rais wetu. Mashetani wameshindwa!!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Mganga wa jadi ni Rais mzuri.Lissu hawezi kuwa rais mzuri
Unatia aibu!Tume iliyopo ni huru sana
Ha ha ha haJapo Tume si huru,kwa tangazo hili,teyari kuna mtu ameshalowa huko aliko!!
siku zote najua toyota Rav4 ni gari nzuri lakini nikiambiwa nikaangalie mashindano kati ya Toyota Rav4 na Toyota Landcruiser hard top; wala sitapoteza muda wangu kwani hayo mashindano yatakuwa ni kama kuangalia chita akishindana mbio na mbuzi...hizo mbio wala hazina haja ya refa....kwasababu matokeo yanajulikana..... iLA haimaanishi kuwa toyota Rav4 ni gari baya; is just wrong match...
Akibahatika kuwa Rais asituletee ushoga na usagaji