Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Hii ni habari njema ccm na tume yao wataipata!
 
Ina maana wanamuogopa mh Lissu kuliko kukosa watalii?
siku zote najua toyota Rav4 ni gari nzuri lakini nikiambiwa nikaangalie mashindano kati ya Toyota Rav4 na Toyota Landcruiser hard top; wala sitapoteza muda wangu kwani hayo mashindano yatakuwa ni kama kuangalia chita akishindana mbio na mbuzi...hizo mbio wala hazina haja ya refa....kwasababu matokeo yanajulikana..... iLA haimaanishi kuwa toyota Rav4 ni gari baya; is just wrong match...
 
Namsubiri Lissu aanze kutoa shule ya uraia, tumekosa sana mtu mwenye akili na uwezo mkubwa wa kujenga hoja Tanzania.
Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Kuna mtu kawatuma mje mjaribu upepo? Mwambieni aliyewatuma hatugawi nchi kwa huruma
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Walitaka Lissu awe kaburini.....lakini Leo lissu yupo hai; anaongea na anatembea mwenyewe baada ya zile risasi za Sub machine gun 38 za mashetani kumvunja vinja viungo vyake ..lakini u hai leo na anakuja kuwa Rais wetu. Mashetani wameshindwa!!

Go Lissu gooooo!!
 
Hata sudan walikuwa wanaamini hivyo lkn leo hii wana maisha mapya kinyume na matarajio yao

Back
Top Bottom