Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Rias yupi alikubali kushindwa
Kila muhula chaguo la Mungu jipya hutokea na kutoweka.
Ulemavu ni dk1 ndugu yangu. Na hao unaoona wamenyooka wamelemaa ngozi, wengine mitutu, wengine akili, wengine macho. Ukilemaa miguu utabeba gongo, ukilemaa macho utavaa miwani. Hata wewe hapo wawezapatwa na stroke kabla hujamaliza kusoma hapa!Ataongozaje na magongo?
Hata wewe ni mlemavu mtarajiwa kwani hujafa hujaumbikaLissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Atajijua maana ulimi uliponza kichwaJe usalama wake ungekuwaje ?kama qngerudi
Wataweka mizengwe mingi kweli, na hata kuitaka mahakama isikilize kesi zote zilizoko mahakamani zinazomhusu Lissu, ili tu wapate nafasi ya kumwondoa kwenye ulingo.Na hizo atazisomba sana tu.Jpm Mbele ya lissu ana kibarua cha ziada, labda amwagize mwenyekiti Wa tume Siku ya lissu kuchukua fomu afunge ofisi kama walivyofanya watendaji serikali za mitaa.
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Mimi lissu akigombea nitampigiaa kampeni mikoa mitatu bure japo kutangazwa Ni kazi kwa tume hii
Ataongea kutoka ukumbi upi hujasema press yake ni wapi sisi waandishi wa habari tuende
Ndio huyu alietabiriwa
Na hizo atazisomba sana tu.Jpm Mbele ya lissu ana kibarua cha ziada, labda amwagize mwenyekiti Wa tume Siku ya lissu kuchukua fomu afunge ofisi kama walivyofanya watendaji serikali za mitaa.
Tuwaache wajaribu bahati yao mkuu Kuna huyu mtu anaitwa tundu lisu anahoja za kimshinda jiwe the great?Hawana mgombea watulie tu kwani lazima wagombee kuna vyama huwa haviweki wagombea kwa sababu kama hizi
Wataweka mizengwe mingi kweli, na hata kuitaka mahakama isikilize kesi zote zilizoko mahakamani zinazomhusu Lissu, ili tu wapate nafasi ya kumwondoa kwenye ulingo.
Mbona hamna msimamo mara bila tume huru hamshiriki sasa mnasema mnashiriki na mtashindaWananchi wataamua wenyewe bila kujali uwepo wa hiyo tume mnayoitegemea iwafanyie kazi.
Nimekuheshimu sana kukupa jibu hili mtu kama wewe; kwa kawaida hupuuza tu maandishi ya watu wa kundi lenu humu JF.
Bora angeendelea na shughuli zake zingine.Kwa Tume hii hii ya Uchaguzi?
Ni aibu Kubwa sana kwa wafu kuongeaChama kilichokufa bdo mnapambana kwa kutumia mapolisccm kuweka ndani viongozi wake?
hata Kama mentally unfit tumpe!?Hahaha rais mazima awe physically fit
Dikteta jiwe aanze kukarabati magereza mapema. Asante Lissu baba njoo utuondolee hili lishetani katili.
Tume yako imesema wakala kupewa nakala ya matokeo sio lazima.Zitalindwa na mungu mkuu
Unatafuta mume humu wewe kigoriMatsui ndiyo lugha yenu Lumumba