Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Chemical Ally
Rias yupi alikubali kushindwa

Chemical once said:

"I will kill them all with chemical weapons! Who is going to say anything? The international community? https://jamii.app/JFUserGuide them! the international community, and those who listen to them!
"I will not attack them with chemicals just one day, but I will continue to attack them with chemicals for fifteen days."

Lakini yeye na Saddam wakaangukia pua puuuuuuuuu!
 
Ataongozaje na magongo?
Ulemavu ni dk1 ndugu yangu. Na hao unaoona wamenyooka wamelemaa ngozi, wengine mitutu, wengine akili, wengine macho. Ukilemaa miguu utabeba gongo, ukilemaa macho utavaa miwani. Hata wewe hapo wawezapatwa na stroke kabla hujamaliza kusoma hapa!
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Hata wewe ni mlemavu mtarajiwa kwani hujafa hujaumbika
 
Na hizo atazisomba sana tu.Jpm Mbele ya lissu ana kibarua cha ziada, labda amwagize mwenyekiti Wa tume Siku ya lissu kuchukua fomu afunge ofisi kama walivyofanya watendaji serikali za mitaa.
Wataweka mizengwe mingi kweli, na hata kuitaka mahakama isikilize kesi zote zilizoko mahakamani zinazomhusu Lissu, ili tu wapate nafasi ya kumwondoa kwenye ulingo.
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.

Ina maana walemavu hawana haki ya kuwa Viongozi?
 
Mimi lissu akigombea nitampigiaa kampeni mikoa mitatu bure japo kutangazwa Ni kazi kwa tume hii

Hakika na hongera sana kwa uamuzi huu...

Mimi vivyo hivyo ila mimi naanzia kwenye familia yangu ambapo tayari ana kura 10 bure za "family members" wote....wote tuna "vichinjio"...

Na kinachofurahisha mpaka bibi yangu (77yrs) ameapa kuachana na CCM . Nguvu ya wajukuu wake wa kileo imembadilisha totally kabisa maana nilipojaribu kuongea naye akauliza na hii ndiyo kauli take;

".......ni yule aliyepigwa risasi 37 hakufa, akapona? Huyo Mungu alihifadhi uhai wake ili awe kiongozi mkubwa nchi hii, mimi pia nitampigia kura yangu....."

Alimalizia kuseama bibi yangu....
 
Tundu hata sahau kipigo atakachobeba
Na hizo atazisomba sana tu.Jpm Mbele ya lissu ana kibarua cha ziada, labda amwagize mwenyekiti Wa tume Siku ya lissu kuchukua fomu afunge ofisi kama walivyofanya watendaji serikali za mitaa.
 
Wataweka mizengwe mingi kweli, na hata kuitaka mahakama isikilize kesi zote zilizoko mahakamani zinazomhusu Lissu, ili tu wapate nafasi ya kumwondoa kwenye ulingo.

Nafikiri CDM wameshaona uchaguzi haupo lakini wanataka kutumia nafasi hii kutpata hitaji fulani na sio kushika dola
 
Wananchi wataamua wenyewe bila kujali uwepo wa hiyo tume mnayoitegemea iwafanyie kazi.
Nimekuheshimu sana kukupa jibu hili mtu kama wewe; kwa kawaida hupuuza tu maandishi ya watu wa kundi lenu humu JF.
Mbona hamna msimamo mara bila tume huru hamshiriki sasa mnasema mnashiriki na mtashinda
 
Back
Top Bottom