Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wana roho za kichawi
Wanamwogopa sana,marisasi yale yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamwogopa sana,marisasi yale yote
Ningekuwa mshauri wa Tundu Lissu ningemwambia achana na nia ya kugombea uraisi kwa mustakabala wa amani ya taifa lako,hakuna namna yoyote inayoweza kumpa ushindi Bw. Lissu zaidi ya kuleta taharuki katika jamii na usalama mdogo wa maisha yake.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Kuna mzee mmoja kule lumumba akisikia jina la Lisu Vima yanagonga pichuKuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
[emoji769]BBC[emoji769]Ataongea moja kwa moja kutokea wapi bwashee?!
Lissu anafaa sana wakati huu tumechoka.Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Umenifanya nicheke mkuu, Lisu ndiyo habari yenyewe, mimi na familia yangu pamoja na wilaya yote kama siyo mkoa ama nchi kura ni kwa Lisu, nyie kalaleni juu ya mawe na jiweakipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
Chunga mdomo aisee.Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
baada ya Lissu kutia nia Magufuli anatafakari kujitoa !Huyo ndiyo kiboko ya Jiwe. Mtu na mtesi kwenye mpambano,raha sana ni amsha amsha kwa kwenda mbele.
Karibu sana kiongoziHii ni habari njema ccm na tume yao wataipata!
Lisu ni unfit..... hawezi.... a gwalide
Hoja yako haina mashikoNingekuwa mshauri wa Tundu Lissu ningemwambia achana na nia ya kugombea uraisi kwa mustakabala wa amani ya taifa lako,hakuna namna yoyote inayoweza kumpa ushindi Bw. Lissu zaidi ya kuleta taharuki katika jamii na usalama mdogo wa maisha yake.
Ukinuliza kwanini nasema hivyo ni kwa sababu kuna hisia kwa baadhi ya watu na yeye binafsi kwamba serikali ilihusika kwa yeye kupigwa risasi,kwa mtazamo huo ni wazi kwamba kama binadamu atakuwa na kinyongo na kulipiza kisasi kama mwanadamu.
Mwisho namshauri Bw.Lissu atulie huko aliko,asitegemee huruma (simpathy) toka kwa jamii ili imchague,yeye amshukuru Mungu kwa kumponya na tukio baya ambalo ni kubwa kuliko huo uraisi anaoutafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hawezi kurudi nchini hata yeye anafaham hivyoKuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
MATAGA Bana!Lisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi