Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

Yawezekana ila wapo ndani ya box hawana neno,wanajaribu kuwa Neutral na CCM wanafahamu kuwa hawana madhara.Wameufyata!
Tusidanganyike,kuna pande mbili tu katika Tanganyika nazo ni CCM vs Wananchi au watetezi wa CCM na wapinzani wa CCM au ukipenda tunaodai Katiba Mpya vs CCM &Serikali.
Katiba Mpya ya Wananchi ni Sasa.
Hili nalifahamu
 
Nimemsikiliza vizuri sana Biswalo Mganga akihojiwa na Farhia wa ITV , huyu jamaa kichwani hamna kitu kabisa !

Hivi anapataje vyeo vikubwa mtu kama Biswalo Mganga , ni mweupe kuliko karatasi yaani !!
MWENYEZI MUNGU hana choyo yeye utoa bila vigezo ndio mana mtu kama biswalo anapata cheo kikubwa ni kwa uwezo wa MUNGU mpaji wa yote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom