Tundu Lissu amjibu Kinana kuhusu ruzuku, asema hawahongeki

Mwenye video au picha Tundu Lisu akitoa msaada wa hela au chochote anitumie.

Huyu mtu anajua kula tu
Ccm na viongozi wao hiyo misaada wanayotoa ni fedha za wananchi walizopora hivyo wanawarudishia kilicho chao!
Tundu Lissu hana kitu cha kuwarudisha kwasababu hajawapora!
 
Tundu Lissu Amechacha sana kisiasa

Haya ndio matamanio ya Kila mwanaccm dhidi ya Lisu. Na ifahamike Lisu ataitesa sana ccm kuliko kiongozi yoyote wa cdm. Lisu ana ushawishi mkubwa kwa wananchi ndio maana Kila akiongea wanaccm wanajikuta kwenye wakati mgumu. Hata dhalimu magu kutaka kumuua sio kwa bahati mbaya, maana alijua vizuri nguvu ya ushawishi ya Lisu.
 
Siku zote walikuwa wanapiga kelele Mbowe aachie ngazi sasa chuma hiki soon kinachukua jahazi halafu Katibu Mkuu John Heche.
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2894995

Written by Mjanja M1 ✍️
📹 JamboTv
Lissu hapo ndipo anafeli pakubwa. Kama binadamu lazima utambue juhudi ya Rais Samia. Huyu bwege alikuwa anaishi Belgium baada ya kupigwa risasi na watu wa Magufuli. Samia kafuta siasa za uhasama na Lissu akarudi lakini hata hilo hawezi kuliona??

I swear Lissu ataiona Ikulu kwenye TV na magazeti tu kama alivyokuwa marehemu Mtikila au Maaalim Seif.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Siku zote walikuwa wanapiga kelele Mbowe aachie ngazi sasa chuma hiki soon kinachukua jahazi halafu Katibu Mkuu John Heche.

Hapo ndio tunangojea, hawatakuwa na njia zaidi ya kukifuta cdm maana nguvu ya Lisu ni hatari.
 
Siku zote walikuwa wanapiga kelele Mbowe aachie ngazi sasa chuma hiki soon kinachukua jahazi halafu Katibu Mkuu John Heche.
Hii ikitimia Chadema itapaa!! Mabadiliko haya yafanywe haraka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Hivi unafikiri Samia au Tulia wakitoa hela wanatoa kutoka mfukoni mwao, hela zao binafsi? Kama huelewi hilo wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana. Ndio nyie mnaomba mpewe maji. Mama tunaomba maji.
 
Lissu hapo ndipo anafeli pakubwa. Kama binadamu lazima utambue juhudi ya Rais Samia. Huyu bwege alikuwa anaishi Belgium baada ya kupigwa risasi na watu wa Magufuli. Samia kafuta siasa za uhasama na Lissu akarudi lakini hata hilo hawezi kuliona??

I swear Lissu ataiona Ikulu kwenye TV na magazeti tu kama alivyokuwa marehemu Mtikila au Maaalim Seif.

..kwanini Samia hajawachukulia hatua watu wa Magufuli waliompiga risasi Tundu Lissu?

..au kwanini hajachukua hatua kwa yeyote aliyejihusisha na vitendo vya kihuni na kinyama wakati wa awamu ya 5 au kabla?
 
Ameogopa collateral damage. Haijalishi ni matendo ya Rais aliyemtangulia, ila akiyaweka wazi yatakirudia chama chake.

Mambo yote maovu na ya kinyama aliyotenda Makonda dhidi ya wahanga yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa Magufuli.
 
..Na akiyafumbia macho yatakuja kutokea tena ktk utawala wake, au wa mwingine.

..Magufuli sio wa kwanza kutenda uovu hapa nchini.

..Karume Snr aliuwa sana Wazanzibari, lakini kwasababu tulifumba macho waliomfuatia nao wamerudia makosa.
 
Ameogopa collateral damage. Haijalishi ni matendo ya Rais aliyemtangulia, ila akiyaweka wazi yatakirudia chama chake.

Mambo yote maovu na ya kinyama aliyotenda Makonda dhidi ya wahanga yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa Magufuli.
Siyo ccm?
 
Tundu lisu is hero,once aliposimama against Zionism na kuside with Palestine nimegundua ni MTU mwenye akili timamu SANA.
 
Nchii hii ni aibuuu saaana yaani akina kinana na makonda ndo waanategemewa na nchii unafikiri tunaweza kutengeneza ata viberiti au baiskeli ya miti kweli??alafu tukiwa masikini tunaanza kuwasingizia mabeberu.
 
Tundu lisu is hero,once aliposimama against Zionism na kuside with Palestine nimegundua ni MTU mwenye akili timamu SANA.
Wewenkila wakati una address issues za UDINI humu. Huna content yeyote zaidi ya Islamic fundamentalism. Pole sana
 
KUSEMA KWAMBA TUNDU LISU NI HERO KWA KUSIMAMA AGAINST ZIONISM NI UDINI??

PELEKA CHUKI ZAKO KWA MWAMPOSA AKAKUOMBEE
 
Kwani umewahi kulaani ugaidi wa Hamas? Hapo ndiyo udini wako unadhihiri
 
LISU NAE ANAESUPPORT HAMAS NA KUIPINGA ISRAEL NI GAIDI??BASI MAGAIDI KUMBE TUPO WENGI,MSALIME MWAMPOSA..!!

MAANA NAONA HADI KANISANI KWAKE KAJAZA BENDERA ZA ISRAEL KIBAO,UTADHANI TUPO YERUSALEM
 
kwan mbona kila ukiandka hapa ni lazma umtaje mwamposa kwan amekukosea nn? Unamuhusishaje na haya mnayoyajadili humu? NB: MUNGU WA WAKRISTO NA WA WAISLAM NI WAWILI TOFAUTI WALA HAWANA USHIRIKA WA WAISLAM YUPO CHINI NA GENGE LAKE NA WA WAKRISTO YUPO JUU.
 
Back
Top Bottom