Ccm na viongozi wao hiyo misaada wanayotoa ni fedha za wananchi walizopora hivyo wanawarudishia kilicho chao!Mwenye video au picha Tundu Lisu akitoa msaada wa hela au chochote anitumie.
Huyu mtu anajua kula tu
Tundu Lissu Amechacha sana kisiasa
Siku zote walikuwa wanapiga kelele Mbowe aachie ngazi sasa chuma hiki soon kinachukua jahazi halafu Katibu Mkuu John Heche.Haya ndio matamanio ya Kila mwanaccm dhidi ya Lisu. Na ifahamike Lisu ataitesa sana ccm kuliko kiongozi yoyote wa cdm. Lisu ana ushawishi mkubwa kwa wananchi ndio maana Kila akiongea wanaccm wanajikuta kwenye wakati mgumu. Hata dhalimu magu kutaka kumuua sio kwa bahati mbaya, maana alijua vizuri nguvu ya ushawishi ya Lisu.
Lissu hapo ndipo anafeli pakubwa. Kama binadamu lazima utambue juhudi ya Rais Samia. Huyu bwege alikuwa anaishi Belgium baada ya kupigwa risasi na watu wa Magufuli. Samia kafuta siasa za uhasama na Lissu akarudi lakini hata hilo hawezi kuliona??Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2894995
Written by Mjanja M1 ✍️
📹 JamboTv
Siku zote walikuwa wanapiga kelele Mbowe aachie ngazi sasa chuma hiki soon kinachukua jahazi halafu Katibu Mkuu John Heche.
🍺🍺🍺🍷🍷🍷🍴🍴🍔🌎🌎🌎✈✈✈✈✈✈✈Mwenye video au picha Tundu Lisu akitoa msaada wa hela au chochote anitumie.
Huyu mtu anajua kula tu
Hii ikitimia Chadema itapaa!! Mabadiliko haya yafanywe haraka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.Siku zote walikuwa wanapiga kelele Mbowe aachie ngazi sasa chuma hiki soon kinachukua jahazi halafu Katibu Mkuu John Heche.
Lissu hapo ndipo anafeli pakubwa. Kama binadamu lazima utambue juhudi ya Rais Samia. Huyu bwege alikuwa anaishi Belgium baada ya kupigwa risasi na watu wa Magufuli. Samia kafuta siasa za uhasama na Lissu akarudi lakini hata hilo hawezi kuliona??
I swear Lissu ataiona Ikulu kwenye TV na magazeti tu kama alivyokuwa marehemu Mtikila au Maaalim Seif.
Ameogopa collateral damage. Haijalishi ni matendo ya Rais aliyemtangulia, ila akiyaweka wazi yatakirudia chama chake...kwanini Samia hajawachukulia hatua watu wa Magufuli waliompiga risasi Tundu Lissu?
..au kwanini hajachukua hatua kwa yeyote aliyejihusisha na vitendo vya kihuni na kinyama wakati wa awamu ya 5 au kabla?
Ameogopa collateral damage. Haijalishi ni matendo ya Rais aliyemtangulia, ila akiyaweka wazi yatakirudia chama chake.
Mambo yote maovu na ya kinyama aliyotenda Makonda dhidi ya wahanga yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa Magufuli.
Siyo ccm?Ameogopa collateral damage. Haijalishi ni matendo ya Rais aliyemtangulia, ila akiyaweka wazi yatakirudia chama chake.
Mambo yote maovu na ya kinyama aliyotenda Makonda dhidi ya wahanga yalikuwa ni maelekezo kutoka kwa Magufuli.
Wewenkila wakati una address issues za UDINI humu. Huna content yeyote zaidi ya Islamic fundamentalism. Pole sanaTundu lisu is hero,once aliposimama against Zionism na kuside with Palestine nimegundua ni MTU mwenye akili timamu SANA.
Wewenkila wakati una address issues za UDINI humu. Huna content yeyote zaidi ya Islamic fundamentalism. Pole sana
Kwani umewahi kulaani ugaidi wa Hamas? Hapo ndiyo udini wako unadhihiriKUSEMA KWAMBA TUNDU LISU NI HERO KWA KUSIMAMA AGAINST ZIONISM NI UDINI??
PELEKA CHUKI ZAKO KWA MWAMPOSA AKAKUOMBEE
LISU NAE ANAESUPPORT HAMAS NA KUIPINGA ISRAEL NI GAIDI??BASI MAGAIDI KUMBE TUPO WENGI,MSALIME MWAMPOSA..!!Kwani umewahi kulaani ugaidi wa Hamas? Hapo ndiyo udini wako unadhihiri
kwan mbona kila ukiandka hapa ni lazma umtaje mwamposa kwan amekukosea nn? Unamuhusishaje na haya mnayoyajadili humu? NB: MUNGU WA WAKRISTO NA WA WAISLAM NI WAWILI TOFAUTI WALA HAWANA USHIRIKA WA WAISLAM YUPO CHINI NA GENGE LAKE NA WA WAKRISTO YUPO JUU.LISU NAE ANAESUPPORT HAMAS NA KUIPINGA ISRAEL NI GAIDI??BASI MAGAIDI KUMBE TUPO WENGI,MSALIME MWAMPOSA..!!
MAANA NAONA HADI KANISANI KWAKE KAJAZA BENDERA ZA ISRAEL KIBAO,UTADHANI TUPO YERUSALEM