Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tena huo mdaharo uwe kwa lugha ya kimataifa ili dunia yote ijue na uongozwe na yule mama MwakitwangeImagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huo mdaharo uwe kwa lugha ya kimataifa ili dunia yote ijue na uongozwe na yule mama MwakitwangeImagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Mkuu kama ulimtazama jana bwana yule aliishiwa na nguvu kabisa na hata aliyo kuwa anayasema, alilazimika tu kusema.Mnafiki kweli kweli bwana huyu:
1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima
Hayo mapenzi yameanza lini?
Mshamba sana huyu bwana.
Wakili halaumiwi kwa kumtetea mteja, kumuita msaliti ni kosa.Kwa hiyo amekiri kuwa yeye ndiye Msaliti wa watanzania aliyekuwa anaongelewa na Rais?
Sasa analalamika nini?
Unapoisaliti nchi unatunguliwa tu, hata kwao Kenya wasaliti huchinjwa kabisa.
Hawezi na hatoweza kulijibu na inaweza ikawa mwisho wake wa kumzungumzia tena mh Lissu.Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Chadema, hatuna haja ya kuwa na vyombo vya habari kama tbc ambao ni wabaguzi wa rangi.TBC simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
Anayekwepa ni Mh. Pombe (PhD)Imagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Patamu Sana mwaka huu.
Sio kumvua ni kumpora na Hali ya kuwa nimrod mkono hakuvuliwaNa kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
Ni wachache mno, ndo maana anaiba kura anajua hawezi kushinda kwa uchaguzi huruHawa jamaa wanadhani Magufuli Hana wafuasi wanaoweza kuingia road, acha twende nao sambamba.
Na youtube nao wamewabagua?Cdm hatuna haja ya kuwa na vyombo vya habari kama tbc ambao ni wabaguzi wa rangi
ipo siku jesh litamgeukaMagu ameshapaniki na Sasa dalili zinaonyesha ataviamrisha vyombo vya usalama kuchezea uchaguzi.
Na hapo ndio mtego wa Lissu ulipo
Yaani mwaka huu uchaguzi uwe huru Lissu mapema anachukua uchaguzi uchezewe watu waingie barabarani Jiwe akimbie Ikulu
Patamu Sana mwaka huu.
Kama hadi sasa waliohusika na umwagaji wa damu ya Lissu hawajakamatwa? Jibu ni dogo tu wanatoka miongoni mwao ndio maana wameshindwa kuwakamata na ile damu iliyomwagika pale dodoma itamuandama sana bwana jiwe.Hizo ngonjera wapelekeeni watoto wa chekechea shule ya msingi kiembe samaki, Atleast they will buy that crap story of yours. Ninyi kwa kiherehere chenu mjue kuwa waliompiga risasi Lissu ni watu wake wa karibu na msiwakamate!? Ninyi hao?...
Wewe kahangaike na mgombea wenu aliye kata tamaaNa youtube nao wamewabagua?
Zetu ni duaipo siku jesh litamgeuka
Ipo siku Mungu ataamua kuonyesha ukuu wake na watatajana tuKama hadi sasa waliohusika na umwagaji wa damu ya Lissu hawajakamatwa? Jibu ni dogo tu wanatoka miongoni mwao ndio maana wameshindwa kuwakamata na ile damu iliyomwagika pale dodoma itamuandama sana bwana jiwe.