Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Mnafiki kweli kweli bwana huyu:

1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima

Hayo mapenzi yameanza lini?

Mshamba sana huyu bwana.
Mkuu kama ulimtazama jana bwana yule aliishiwa na nguvu kabisa na hata aliyo kuwa anayasema, alilazimika tu kusema.

Wengi wa wale watu walisombwa kutoka dodoma maana alijua kabisa singida hakubaliki kabisa.
 
Kwa hiyo amekiri kuwa yeye ndiye Msaliti wa watanzania aliyekuwa anaongelewa na Rais?
Sasa analalamika nini?

Unapoisaliti nchi unatunguliwa tu, hata kwao Kenya wasaliti huchinjwa kabisa.
Wakili halaumiwi kwa kumtetea mteja, kumuita msaliti ni kosa.
 
Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Hawezi na hatoweza kulijibu na inaweza ikawa mwisho wake wa kumzungumzia tena mh Lissu.
 
Patamu Sana mwaka huu.


Kamwe, chonde chonde usiombe jambo hilo litokee, kwa nature ya huyo "mfalme" wetu, damu nyingi itamwagika, na kwa mara ya kwanza historia ya Tz itabadilika.
 
Magu ameshapaniki na Sasa dalili zinaonyesha ataviamrisha vyombo vya usalama kuchezea uchaguzi.

Na hapo ndio mtego wa Lissu ulipo

Yaani mwaka huu uchaguzi uwe huru Lissu mapema anachukua uchaguzi uchezewe watu waingie barabarani Jiwe akimbie Ikulu

Patamu Sana mwaka huu.
ipo siku jesh litamgeuka
 
Hizo ngonjera wapelekeeni watoto wa chekechea shule ya msingi kiembe samaki, Atleast they will buy that crap story of yours. Ninyi kwa kiherehere chenu mjue kuwa waliompiga risasi Lissu ni watu wake wa karibu na msiwakamate!? Ninyi hao?...
Kama hadi sasa waliohusika na umwagaji wa damu ya Lissu hawajakamatwa? Jibu ni dogo tu wanatoka miongoni mwao ndio maana wameshindwa kuwakamata na ile damu iliyomwagika pale dodoma itamuandama sana bwana jiwe.
 
Kama hadi sasa waliohusika na umwagaji wa damu ya Lissu hawajakamatwa? Jibu ni dogo tu wanatoka miongoni mwao ndio maana wameshindwa kuwakamata na ile damu iliyomwagika pale dodoma itamuandama sana bwana jiwe.
Ipo siku Mungu ataamua kuonyesha ukuu wake na watatajana tu
 
Back
Top Bottom