Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Screenshot_20200804-180252.png

Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Sifa iliyokuwa inatafutwa kwa jiwe imebuma! Wembe wa sheria uko mlangoni kila ukihitaji unakatwa tu! pole mutungi mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom