Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tulieni dawa iingie.Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Mange ndo kasema hivyo?Tulieni dawa iingie.
Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Nawe waniuliza kwa sheria ipi?Apunguze kiherehere kwa sheria ipi ?
Huyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji.....mwenye kiherehere ni Jaji Mutungi.
..amelikuza jambo ambalo hakuna mtu alikuwa na habari nalo.
Msajili ndio apunguze kiherehere akasome kwanza sheriaHuyo Lissu naye apunguze kiherehere...
Sifa iliyokuwa inatafutwa kwa jiwe imebuma! Wembe wa sheria uko mlangoni kila ukihitaji unakatwa tu! pole mutungi mchumia tumboMwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
Akikaa kimya CCM watasema ni kweli Kwamba alivunja sheria kumbe uongoSasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Sasa huyo Lissu si angempuuza tu huyo jaji...
Lissu naye kama Trump tu.
Anawaumbua!!Anajiingiza kwenye kumi nanae taraatiibuu