Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapi Wakili Msomi Peter Kibatala ?
 
Kigalla arudi kwenye ualimu wake wa upe tu huko dodoma.
 
Salim Mwalimu ana kimeo cha covid 19.

Hatimae hiki kimeo cha COVID 19 kimepata suluhisho la milele kwani itakuwa ngumu Sana kurudi ndani ya chama kwani Godfather wao ni out na wale wanaume wawili wenye COVID 2 Bungeni nao out
 
Mwanasheria anaitwa " Nshala" kesi mtashinda vipi ?
 
Pongezi kubwa kwako mh Tundu Antipas kwa ushindi na upangaji wa safu mpya. Ubarikiwe sana mwamba, Mungu yu pamoja nawe. Amen.
 
Nilimsikia Januari Makamba anasema juzi Dodoma kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chama anafanya kazi nyepesi ila mtendaji Mkuu wa Chama ni Katibu Mkuu.

Kwa hiyo kama mtendaji Mkuu ni Katibu Mkuu,ina maana Tundu Lissu lazima aje na wasaidizi wapya.

Halafu,wakati huu baada ya Uchaguzi,ni wakati wa kukiunganisha Chama.

ALWAYS hotuba ya kwanza inahusu malengo mapya ya kiongozi mpya pamoja na kuunganisha Chama kwa sababu ya rift iliyotokea wakati wa Kampeni.

Huu siyo wakati wa triumphalism kwa kiongozi mpya.

No fear. No triumphalism.
 
ni sawa gentleman,
ni muhimu kuwaheshimu na wengine wanamuunga mkono 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…