Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Nafasi moja ya Mjumbe kati ya zile sita kutoka kwa Mwenyekiti ni nafasi Ya Mzee Slaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono kabisa. Pale juu alihitajika mwanamke. Catherine Ruge angefaa sana kwenye nafasi ya NKM. Au hakuwa upande pendwa?..nilitegemea Catherine Ruge awe Naibu Katibu Mkuu.
..maadam amechaguliwa mwingine ningefurahi kama atateuliwa kuwa mmoja wa wakurugenzi wa sekretariet.
Nahisi atapewa Msigwa. Si amesema ni kwa ajili ya mtu atakayetoka upande wa pili?Nafasi moja ya Mjumbe kati ya zile sita kutoka kwa Mwenyekiti ni nafasi Ya Mzee Slaa...
Catherine Ruge aliteleza, mwanzoni alikuwa neutral baadaye dakika za mwisho akawa timu Mbowe, akaharibu.Nakuunga mkono kabisa. Pale juu alihitajika mwanamke. Catherine Ruge angefaa sana kwenye nafasi ya NKM. Au hakuwa upande pendwa?
Amandla...
Kama ni kweli, hakuharibu. Alionyesha kuwa ni mtu mwenye msimamo. Mimi nadhani alikuwa timu Lissu. Kuna watu waliteleza wakamtaja wazi kuwa ni timu Lissu. Na Bawacha ni ya Mbowe. Anastahili heshima kama yule binti mpambanaji wa Dodoma. Lakini kama mnataka watu mfano wa Hilda....Catherine Ruge aliteleza, mwanzoni alikuwa neutral baadaye dakika za mwisho akawa timu Mbowe, akaharibu.
Lissu hawezi kumtupa Lema; ni mtu muhimu kwake na kwa Chadema.Lissu amtafutie kitengo Lema.
Jamaa mtu muhimu sana..
Kama TrumpSpeed speed
Nakuunga mkono kabisa. Pale juu alihitajika mwanamke. Catherine Ruge angefaa sana kwenye nafasi ya NKM. Au hakuwa upande pendwa?
Amandla...
Fundi upo?Nakuunga mkono kabisa. Pale juu alihitajika mwanamke. Catherine Ruge angefaa sana kwenye nafasi ya NKM. Au hakuwa upande pendwa?
Amandla...
Kukata pumzi ? Mbio za marathon ndefu hachoki mtu, mpaka ushindi.atakata punzi tuh wala haina tabu wazee tunajua jinsi ya kucheza nae huyo kijana
Siasa za Makundi upoteza watu wengi Catherine mazoea yalimtesaCatherine Ruge aliteleza, mwanzoni alikuwa neutral baadaye dakika za mwisho akawa timu Mbowe, akaharibu.
Maisha yanaendelea.Fundi upo?
Naona jambo limekuwa kinyume na mapenzi yako.
TL kashinda.
Pole mkuu.
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu.
Mh. Tundu Lissu amefanya uteuzi kama ifuatavyo
Katibu Mkuu
1. John John Mnyika
Manaibu Katibu Mkuu
1. Aman Golugwa - Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (Tanzania Bara)
2. Wakili Ally Ibrahim Juma - Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Godbless Lema
2. Dkt. Rugemeleza Nshala - Mwanasheria Mkuu wa Chama
3. Rose Mayemba
4. Salma Musa Kasanzu
5. Hafidh Ally Salehe
Pia soma
- Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Trump wetu yuko faster mara hii kashateua Katibu mkuu!
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu.
Mh. Tundu Lissu amefanya uteuzi kama ifuatavyo
Katibu Mkuu
1. John John Mnyika
Manaibu Katibu Mkuu
1. Aman Golugwa - Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (Tanzania Bara)
2. Wakili Ally Ibrahim Juma - Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Godbless Lema
2. Dkt. Rugemeleza Nshala - Mwanasheria Mkuu wa Chama
3. Rose Mayemba
4. Salma Musa Kasanzu
5. Hafidh Ally Salehe
Pia soma
- Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
View: https://www.youtube.com/live/n57Tc7XtINo
Sultan Mbowe amesha BWAGWA, bado unasumbuka na nini wewe?Kama ni kweli, hakuharibu. Alionyesha kuwa ni mtu mwenye msimamo. Mimi nadhani alikuwa timu Lissu. Kuna watu waliteleza wakamtaja wazi kuwa ni timu Lissu. Na Bawacha ni ya Mbowe. Anastahili heshima kama yule binti mpambanaji wa Dodoma. Lakini kama mnataka watu mfano wa Hilda....
Amandla...