Pre GE2025 Tundu Lissu amteua Lema kuwa wakala wake uchaguzi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe

Mwenye ID hii umekuwa tofauti sana na vile ulikuwa una comment miaka kadhaa nyuma. I think ukubwa unakuendea vizuri.

My point is, am happy to see someone mature to a wiser person. Sorry kama itasound vibaya.
Kweli Mkuu amebadirika sana mwenye hio I'd
 
Sijui huu uchaguzi nani ataibuka mshindi, washindani wametoa hotuba zinazoacha dillema wafuasi wao, ni wamoja, kuna kitu wamekubaliana tu, si bure kushusha temper za wafuasi wao wakubaliane na matokeo yatakayotoka. Kuna namna wamekubaliana
 
Nini Lemma amteue hata Robert Amsterdam awe wakala wake atagalagazwa tu kwa zaidi ya 90%.
 
Shukrani mkuu. Wala haijasound vibaya may be ukubwa au sarakasi za maisha nimeona kama pongezi tu.
Wewe

Mwenye ID hii umekuwa tofauti sana na vile ulikuwa una comment miaka kadhaa nyuma. I think ukubwa unakuendea vizuri.

My point is, am happy to see someone mature to a wiser person. Sorry kama itasound vibaya.
 
Sijui huu uchaguzi nani ataibuka mshindi, washindani wametoa hotuba zinazoacha dillema wafuasi wao, ni wamoja, kuna kitu wamekubaliana tu, si bure kushusha temper za wafuasi wao wakubaliane na matokeo yatakayotoka. Kuna namna wamekubaliana
Mbowe hii mbona ipo dhahiri.
 
Nilikuwa Ukumbi wa kuhesabia kura kuhakikisha Sioi Sumari anashinda lakini alichokifanya God bless Lema wakala wa Nassari hatutakisahau Daima

Ngoja tuone 🐼
 
Ajabu uchaguzi wa chadema lakini analaumiwa ccm..😁
 
Back
Top Bottom