LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
We ndo unaujuaUbishi unaujua wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo unaujuaUbishi unaujua wewe?
Haahaa aliyekata tamaa mbona kashazikwa chatoLissu kashakata tamaa ya kuishi maisha ya furaha.
We ndo umesema mkuu, ametaja jina? Tuwe waadilifu
Huyo mlinzi anayezungumziwa ni yupi?Hana, yeye kaanza kufanya imagination Kisha lissu kasema general.Kwani rais ana mlinzi mmoja?
Huo mi mtizamo wako broh, wengine tunamuona Lissu ni mnyoofu sanaLissu has to rethink nini hasa anahitaji katika Tanzania. Yes ana bitter experience with Magufuli but now anatumika vibaya
Zitto and Mbowe are the smartest political figures kwa sasa they know how to act kutokana na wakati.
Aulizwe LissuHuyo mlinzi anayezungumziwa ni yupi?
Tusimjibie Lissu, aulizwe. Tabia ya kusemea watu hapanaSasa ni mlinzi yupi aliyekufa na C-19?
Anahitaji na msaada wa kisaokolojia.Lissu aachane na hizi "interview" alichemka vibaya sana kwenye Hardtalk ya Steve Sukur na sasa ameendelea kuchemka kwenye "Straight talk Africa" ya Shaka Ssali
Ni mlinzi yupi huyo anayemaanishwa na Lissu?Hahahaha..
Tulia dogo, mbona una panic?
Swali ni kuwa:
whoever that person is, una hakika kuwa ni mzima??
Wahenga walishasema:
"No research no right to speak.."
Waliposema jiwe katangulia mbele za haki mlibisha hivi hivi
Hivi yule mwenda zake angetoboa kweli? Kwenye Ile interviewLissu aachane na hizi "interview" alichemka vibaya sana kwenye Hardtalk ya Steve Sukur na sasa ameendelea kuchemka kwenye "Straight talk Africa" ya Shaka Ssali
Tena kwa mbali sana...not even remotely close.Haahaa anamzidi majaliwa?
Angalia how composed Mbowe na Zitto wakiwa wanajenga hoja kisha mtazame Lissu. In short Lissu katika uwanja wa siasa is only smart anapoongelea jambo ambalo unataka kulisikia ila kama upo upande tofauti nae hana uwezo kukushawishi kua upande wake.Sasa hivi kawa mropokaji tu!
Sure na hii ndio democracyHuo mi mtizamo wako broh.wengine tunamuona lissu ni mnyoofu sana
Kwanini bado anazozana na MarehemuHaahaa aliyekata tamaa mbona kashazikwa chato
Una akili finyu sana we kisikio poo, sasa unauliza ni yupi huku kule juu ushamhukumu Lissu kuwa ni muongo?Ni yupi sasa ambaye Lissu alikuwa anamzungumzia?
Ni mlinzi yupi wa Rais Magufuli ambaye kafa kwa C-19?
So are youTundu Lissu followers like you, don’t have a brain. You have cottage cheese, instead!!
Your man who wanted Lissu dead is now six feet down alone with his red tie.All hogwash and lies. He is speaking from his stomach but neither from heart of mind. How can he confidently say that Magufuli died of Covid-19 as if he was his doctor of family spokesperson. This way, we have a bumpy, long and torturous way to go. He thinks the world believes in what he is jabbering. To the contrary, even birds know he is a pathological liar and imperialists are busy abusively using this busybody for his peril. If anything, Lissu is one of those who always have vended Africa for just thirty pieces of metal. What a shame! Shame on you. If you are a man enough, please come back home and learn what denied frogs tails my friend. If indeed you mean business, please come and see how shocked you will be.
Cha ajabu ameshafanya conclusion halafu Chini anauliza swali haha hiki kizazi cha zinaa na mchiriku kina shida sana!Hahahaha..
Tulia dogo, mbona una panic?
Swali ni kuwa:
whoever that person is, una hakika kuwa ni mzima??
Wahenga walishasema:
"No research no right to speak.."
Waliposema jiwe katangulia mbele za haki mlibisha hivi hivi