Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Kabla mleta mada hajajumuisha maoni yake kuwa Lissu ni mwongo ungemuuliza anahitimisha uongo wa huyo Lissu kwa basis zipi?Huyo mlinzi anayezungumziwa ni yupi?
Mfano unapouliza mlinzi yupi wewe uliwajua walinzi wote wa JPM?