Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Wataje wewe walinzi wa Rais wako wangapi na wangapi wako hai?
Yeye mwenyewe mlipo ambiwa kafa mlibisha na kusema yupo kajifungia anachapa kazi huku wengine wakisema Rais anawasalimia (akiwepo PM) sasa mtashindwa kubishia Mlinzi msiyemjua hata jina?
Kuna yule wa Mbeya akasema na yeye kapigiwa simu,
 
Maelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....
 
Maelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....
Mwenzio kauliza swali wewe ndio unakuja na assumptions zako. Mbona Alipo Rais kuhusu whereabouts ya Magufuli mlimuona hamnazo mwisho ilipodhihirika mlitokomea kusikojulikana?

Mlinzi mweusi ni huyo tu? Je mmemuona leo?

We kajamaa na wewe ni utopolo
 
Mtajwa Sebastian Mwavanga Pichani ( kama sijakosea yupo hai ) isipokuwa inasemekana ( tetesi ) kuna Mmoja ndiye alifariki japo ni ngumu Kuthibitishwa na Taasisi husika hasa kutokana na Utendaji Kazi wake wenye Unyeti mwingi kwa Raia wa kawaida kuweza Kufahamu kinachoendelea huko.

Na Watu wengi sana tunachanganya Jina la huyu wa Pichani ambapo kuna wanaomuita Wilfred Mwango na Frank Kaloli hali ambayo inaonyesha kuwa huenda Wote ( mpaka Tundu Lissu nwenyewe ) hatuna Taarifa sahihi na tumebaki Kuzusha na Kubashiri tu.
 
Anahitaji na msaada wa kisaokolojia.

Anaweza akawa ana trauma kutokana na yaliyomkuta.

Ni kweli he seems confused
Mwanzoni nilikuwa namshangaa amekuaje
Lakini nadhani anahitaji msaada,bado ana uchungu sana ila jinsi anavyo pambana na huo uchungu inaonekana kama anapotea
Ukweli ni kwamba asipokuwa makini anajimaliza kisiasa mwenyewe,atafika stage watu watampuuza
 
Kama walikuwepo kwenye shughuli ya msiba mwenye picha zao aweke hapa tumalize utata kama zilivyowekwa picha za walinzi hao wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu yangu naona Lissu anaiharibia sana Chadema mazungumzo yake siku zote hayaoneshi kama yana mrengo wowote wa kukiimarisha chama kwa siku zijazo badala yake anaongea utadhani yeye ndio mtu wa mwisho kugombea urais kupitia Chadema
 
If that's the guy! If I were him! If I were Tanzanian! If! If! If! If this were Arch midis theory! If, If. Solving a problem using if's!
Ungemshitaki vipi kwa kutumia if! Naamini mtu hushitakiwa kwa kuwa na uhakika, unaharaka gani kutuletea Post iliyojaa if's? What will happen if you were to go back into your loo and rewrite a final Post without if's!
 
Lissu has to rethink nini hasa anahitaji katika Tanzania. Yes ana bitter experience with Magufuli but now anatumika vibaya


Zitto and Mbowe are the smartest political figures kwa sasa they know how to act kutokana na wakati.
Siku zote nawaambia Lissu Hana hekima....
akili zake ni kama za mtoto wa sekondari
kukamia....
 
Lissu aachane na hizi "interview" alichemka vibaya sana kwenye Hardtalk ya Steve Sukur na sasa ameendelea kuchemka kwenye "Straight talk Africa" ya Shaka Ssali
Umeshaacha Tabia yako ya kusifu na kuabudu Binadamu mwenzako(hayati Magufuli)?
 
Pumbafuhii chuki yako kwa Lissu inakusaidia nn wew lisukuma?Una tofauti gani na yy,wote hamna uhakika alafu unamtuhum mwenzio na likiingrza lako la kijerumani?Wew unawaju unawajua walinzi wote wa Rais, PSU?
Unahemkwa kweli kama taahira Lissu
 
Tundu Lissu hajataja mlinzi yupi wa Magufuli aliyefariki na Corona.
Magufuli alikuwa na walinzi zaidi ya 19.
10 kutokana usalama wa Taifa na kutoka 4 polisi (FIELD FORCE ) na 4 JWTZ(MP) 1 JKT .
Wewe huwajui na hata wakifa serikali haiwezi zaidi utasikia wale watatu ambao huwa wanaambatana kwa ajili ya kumsaidia ADC ,lkn ambao huwa ni undercover na front cover utawajulia wapi?
 
Back
Top Bottom