Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Muulize Lissu acha ulopolopo. Lissu aliposema kwa mara ya kwanza kuwa JPM kazima mlibisha, hili la mlinzi wake naye kutangulia mbele za haki, sio jipya, na Rais hana mlinzi mmoja. Mtafute Lissu akutajie jina kama unalihitaji!

hata saa mbovu kuna wakati mishale inaangukia penyewe,

ila sio kwei kwamba ina uzima.
 
Video i wapi mkuu Lusungo ? Tafadhali tuwekee.
 



Nimejaribu kusoma nione wapi naweza ona Credible source ya hii habari, but nilivyosoma tu hapo juu nikaishia hapo hapo. Blah blah kama kawaida.​

 
tunachobishania hapa ni kuwa Mlinzi wa Rais mweusi anayekaa nyuma yake lkn sio Mwanajeshi kuwa kafa na Covid na sio matatizo ya moyo ya karibu muongo mmoja
je Mbona mpaka leo Walinzi waliobaki hawavai barakoa au kuambukizwa Corona?
Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan mbona hajaambukizwa hiyo Corona?
wapambe na wote wa Hayati JPM hakuna aliyefuata kwa kuambukizwa Corona?
Hebu mtake Tundu Lissu aridhike kuwa Corona haikumuondoa JPM walinzi wote hata wa Mama suluhu mpaka leo hawavai hivyo kusema wameambukizwa?​
 
Huyo hamaa hajafa, yupo. Lissu nampenda na kumkubali ila katika hili amenisikitisha. Haikua na haja ya kutajataja waliokufa na covid matokeo yake kataja na walio hai

Hata hivyo hii haiondoi ukweli wa maelezo yake kuhusu kifo cha magu

labda mumemnyima heshima yake ya kutaka kusifiwa kwa kutamka wa kwanza,kwahiyo anatafuta heshima kibabe kwa kutaja mpaka wazima.

chiki mbalaga kuna swali aliulizwa unatumia mitandao ya kijamii??akaanza ndio natumia.

shida ni pale alipoanza kuiorodhesha ndipo tukajua kumbwe mwenzetu charge empty.
huyu msipomshika,atakuja na boko kali kuliko hii.
 
Huu ujinga wa kusema mbona viongozi hawavai barakoa na hawaambukizwi ulienea sana mwaka jana. Kilipoingia kimbembe cha ''wave'' la pili lililoondoka na akina Kijazi na Magufuli hatusikii tena huu ujinga. Naona umebaamua kubaki mjinga mmoja. Anyways inaonekana hata corona huijui kwa kuindani ndiyo maana unatoa hoja za kisomo cha watu wazima.
 
1 Pigwa Risasi 2 kosa kataliwa fedha za matibabu kosa 3 Nyang'anywa Ubunge Kosa

Makosa matatu halafu usamehe kijinga? hebu acheni upuuzi.

kama unayeamini kuwa ni mtesi wako anafariki mbele ya macho yako,unatakiwa kupiga magoti na kusali umwombee msamaha kwa Mungu.maana kwa imani ameshuhudia ukuu wake.

kinyume na hapo ndio kiwewe kama alicho nacho wakili msomi.
 
mkuu inatosha inatosha sasa ameelewa
 
Mada kama hizi ndio zinadhihirisha jinsi gani waTanzania tulivyo weupe kwenye mada zinazohitaji matumizi ya akili badala ya mihemko.....
 
Wewe na wewe bado una moyo wa kupiga bla bla bla hapa! Nyie mlikuwa mnabisha mnasema rais anachapa kazi! Leo umefufuka bibi Josephina Mshumbuzi? Tuambie basi umempa nini Dr mpaka ukamteka akili zake namna ile!
Nipo break point ya kunduchi now njoo unywe bia hapa uache umama.
 

nakumbuka kwenye ile show ya mwanzo,host tu alimkaba kwa maswali magumu mpaka nikapanick namimi[emoji16][emoji16][emoji16].

alimuuliza wewe ni mwanasheria kwa taaluma,inakuwaje unadhania jambo na kumtuhumu mtu kuhusika na madhira yako,pasi na ushahidi wa wazi kabisa??huoni kwamba unakiuka misingi ya kisheria??mwamba povuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…