Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Ni kweli he seems confused
Mwanzoni nilikuwa namshangaa amekuaje
Lakini nadhani anahitaji msaada,bado ana uchungu sana ila jinsi anavyo pambana na huo uchungu inaonekana kama anapotea
Ukweli ni kwamba asipokuwa makini anajimaliza kisiasa mwenyewe,atafika stage watu watampuuza
hahaha sasa umeandika nini na wewe
 
Mada kama hizi ndio zinadhihirisha jinsi gani waTanzania tulivyo weupe kwenye mada zinazohitaji matumizi ya akili badala ya mihemko.....

umeona mkuu!!![emoji16][emoji16]

kuna watu wameona kamanda ameingia chaka,but kwa vile ni kamanda kiongozi basi no way ni kukaa upande wake tu,eti hakumtaja kwa jima[emoji38][emoji38]
 
Nipo break point ya kunduchi now njoo unywe bia hapa uache umama.

Last moments of the ‘Bulldozer’ John Pombe Magufuli​

Tanzanian President John Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated, the Nation has established.

The President, who was flown to Kenya secretly on March 8 after suffering acute cardiac and respiratory illnesses, was under intubation when a decision was made to fly him back home.

Magufuli’s entry and exit from Kenya was a guarded affair, that only select National Intelligence Service (NIS) officials and members of the National Security Advisory Committee were aware of.

Sources say he died at Mzena Hospital shortly after arrival on Thursday last week, contradicting the Tanzanian government’s official account of the death occurring on Wednesday this week.

“Dear Tanzanians, it is sad to announce that today, March 17, 2021, around 6pm, we lost our brave leader, President John Magufuli, who died from a heart disease at Mzena hospital in Dar es Salaam,” Vice President Samia Suluhu Hassan announced on state broadcaster on Wednesday, shortly before midnight

While the Tanzanian government had long denied that President Magufuli was sick, the Nation was the first media house to report the admission to Nairobi Hospital of “an African leader” on March 9.

Magufuli’s condition​


In her announcement, Ms Suluhu said President Magufuli was taken ill on March 6, appearing to corroborate the Nation’s account.

President Magufuli, had not been seen in public since February 27, raising speculation on his whereabouts and health.

Prime Minister Kassim Majaliwa on Friday said he had spoken to the president and blamed reports of his sickness on “hateful” Tanzanians living abroad.

On Monday, the Vice-President urged Tanzanians not to listen to “rumours” from outside, but added that it is normal for anybody to get sick with flu, fever or other diseases.
On arrival at Nairobi Hospital, emergency medical personnel performed an intubation, a procedure in which tubes are forced down a person’s lungs to help in breathing.

Magufuli’s condition had suddenly deteriorated after spending less than 24 hours at Mzena Hospital, when a decision was reportedly made to fly him to Cape Town, South Africa, which has better facilities.

Secretly flown to Nairobi​


With a flight time of three hours to Cape Town, doctors advised time was not on the side of the seriously sick leader, who by the time, could not talk.

Another country had to be selected fast.

Nairobi Hospital was deemed the nearest option with better facilities and personnel, but the transfer had to be done discreetly in order not to create tension in Tanzania.

These decisions were made at the very highest levels of government between the two States, so discretely that even Kenya’s Foreign Affairs Ministry was not aware of the arrangements
Magufuli’s air ambulance and an accompanying entourage landed at Wilson Airport on Sunday night, when the runway had already been closed to other planes.

People aware of the matter say landing at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) was deemed as being too indiscreet, as the facility operates round the clock. Wilson Airport in Lang’ata shuts its runway to commercial and private planes at 8pm.

During the roughly one-and-a-half hour trip from Dar es Salaam to Nairobi, President Magufuli used a medical air evacuation plane belonging to a regional company with headquarters in Nairobi.
 
Tundu hawezi kuwa sawa mpaka Ile risasi iliyonasia katika expansion joint iondolewe.
 
Huu ujinga wa kusema mbona viongozi hawavai barakoa na hawaambukizwi ulienea sana mwaka jana. Kilipoingia kimbembe cha ''wave'' la pili lililoondoka na akina Kijazi na Magufuli hatusikii tena huu ujinga. Naona umebaamua kubaki mjinga mmoja. Anyways inaonekana hata corona huijui kwa kuindani ndiyo maana unatoa hoja za kisomo cha watu wazima.
bado upo kwenye giza kama Tundu Lissu ache tukuache kwani imeshatoka Corona III muulize Odinga hapo Kenya amepona
hii kitu inapiga December hadi March acheni Mama yetu adunde msimtishe eti mnaijua Corona,
 
Mimi sio mwanasheria, lakini najiuliza je kama kweli Lissu anamuongelea huyo jamaa yako, na kama ni kweli yupo hai ... Je sheria ya Tanzania inaruhusu mtu aliyetenda kosa akiwa Ubelgiji (nchi nyingine) kushtakiwa katika Mahakama za Tanzania. Je atakuwa amevunja sheria za nchi ipi, na atashtakiwa katika mahakama za nchi gani?

Je kama kweli kafariki huyo jamaa (ambaye wote hatujui kama ni yeye anayeongelewa) Lissu atakuwa na kosa gani? Isitoshe kwa sheria za Tanzania Mahakama/Mshtaki ndio watapaswa kuthibitisha kwamba Lissu anamuongelea huyo jamaa na si Lissu ndio athibitishe kwamba hamuongelei huyo jamaa


Kwenye hili suala kuna KAMA, KAMA ... Kuna kama nyingi sana ambazo kwenye sheria hazina nafasi

kumfungulia kesi ya namna hii lissu ni kumrudiaha kwenye umaarufu usio na haja.

huyu jamaa ni wa kumwacha kwanza hayuko sawa,hasa baada ya rais wake kufariki.
 
umeona mkuu!!![emoji16][emoji16]

kuna watu wameona kamanda ameingia chaka,but kwa vile ni kamanda kiongozi basi no way ni kukaa upande wake tu,eti hakumtaja kwa jima[emoji38][emoji38]
Hakuna jambo gumu kama kujadili siasa humu jamiiforums......uwanja wa siasa umekuwa uwanja wa kutukanana matusi ya nguoni........
 
Shida ya Lissu ameokoteza maneno Twitter
siku Tundu Lissu akimuona jamaa aliyemtaja kafa kuwa ni miongoni mwa wanaomlinda Rais Mama Suluhu Hassan hata kwa pembeni tu sijui atafunika wapi miwani yake
halafu hata barakoa hawana sijui?
1617299883816.png
 
siku Tundu Lissu akimuona jamaa aliyemtaja kafa kuwa ni miongoni mwa wanaomlinda Rais Mama Suluhu Hassan hata kwa pembeni tu sijui atafunika wapi miwani yake
halafu hata barakoa hawana sijui?
View attachment 1740660
Hii si mara ya kwanza Lissu kuwazulia watu. Jamaa ni muongo muongo.

Alishawahi kusema tukivunja mikataba ya madini tutashtakiwa. Huyu jamaa hana uzalendo hata kidogo na hii nchi. Mabeberu wanamtumia sana kuivuruga nchi.
 
Yaani Lijamaa Lako Ulilolipigania Limekufa Yaan.

Limashatangulia wherever it is that they tanguliaring

nawewe si unakwenda nyuma yake!!!

tena wewe utakufa ukiwa umebinuka tako,na hakuna atakayejishughulisha na kifo chako.
 
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.

Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake dhidi ya Rais Magufuli.

Ila kilicho kamata uangalifu wangu ni madai yake yeye Lissu kuwa eti yule aliyekuwa mlinzi wa Rais Magufuli, naye kafa kwa C-19!

Naamini alikuwa anamzungumzia huyu jamaa. Jamaa ambaye ali stand out kati ya waliokuwa walinzi wa marehemu.

View attachment 1739998

Hii picha hapa chini ni baada ya Magufuli kufariki. Hapa walikuwa kanisani [nadhani ni pale kwa Mtakatifu Petro].
View attachment 1739999
Huyu jamaa mpaka kule Chato nilimuona [kama sijakosea].

Sasa, endapo ni kweli amekufa [iwapo Lissu alimaanisha ni huyu], basi jamaa atakuwa amekufa baada ya tarehe 26, Machi 2021.

Lissu kasema “his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Msikilize mwenyewe ili usiseme labda namzushia au napotosha alichokisema.

Video ya mahojiano ni ndefu. Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 21:10 mpaka 21:36.



Tundu Lissu amechanganyikiwa? Ni nani aliyemwambia kuwa huyo jamaa [kama ndo yeye anayemzungumzia] kafa? Na amekufa lini?

Tuliokuwa tunafuatilia msiba wa Magufuli kwenye runinga tulimuona jamaa. Picha zake nyingi tu za wakati wa msiba zipo mtandaoni na hata humu JF zipo!

How can Tundu Lissu say this so confidently?

Where does he get his information from?

I don’t know about you guys but this is slander.

If I were the guy [don’t know his name], I’d be lawyering up right now, even though Lissu didn’t specifically mention his name, but in my view, the description he gave is sufficient enough to know who he was talking about.

I don’t know much about Tanzanian laws with regards to defamation and slander, but if I were the guy, I’d shoot my shot and sue the hell out of him.

Calumniating people’s deaths is not cool.

 
sasa

macho_mdiliko

unaleta aibu na huo usomi wako ww umesema ni Corona na bandiko lako halioneshi ni Corona rudi darasani au jifunze kuweka Hoja
hiyo taarifa km haina Corona ni ya Uongo wa Lissu unaoutetea

Last moments of the ‘Bulldozer’ John Pombe Magufuli

Tanzanian President John Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated, the Nation has established.
The President, who was flown to Kenya secretly on March 8 after suffering acute cardiac and respiratory illnesses, was under intubation when a decision was made to fly him back home.
Magufuli’s entry and exit from Kenya was a guarded affair
 
Ila kilicho kamata uangalifu wangu ni madai yake yeye Lissu kuwa eti yule aliyekuwa mlinzi wa Rais Magufuli, naye kafa kwa C-19!

Naamini alikuwa anamzungumzia huyu jamaa. Jamaa ambaye ali stand out kati ya waliokuwa walinzi wa marehemu.
Sasa angalia mada kama hii ya kipuuzi kabisa.

Unasema "Unaamini alikuwa anamzungumzia huyu..."; sasa kuamini kwako kuna maana gani hapa.

Akiwa mwingine je?

Na hata hivyo ni mada ya kipuuzi kabisa.

Katika yote aliyoongea wewe hili ndilo lililokuwasha sana hadi ukalileta hapa, ili iweje?

Amekwishaondoka, ameondoka.

Tafuta mambo mengine ya maana maishani mwako.
 
Comments zote humu hakuna aliyeelezea chanzo cha hasira za Tundu Lissu. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kudindisha tena baada ya zile risasi,Jogoo haliwiki. Kwa wanaume mliopo JF ambao unajua vizuri utamu wa K unadhani mtu aliyesababisha wanawake uanze kuwaona kama madume utamchukia kiasi gani!?.. kwahiyo msimshangae sana Lissu. Maisha yameshakosa maana kabisa. Ila tulimwambia asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Hata Kama JPM kafa Ila na yeye JOGOO halisimami tena. Ukikuta ni kweli alidokolewa na Amsterdam usishangae.
ulimbong'olea mkuu.ndu wako mpka uwe na uhakika na uandikacho.
 
Back
Top Bottom