Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

If I were the guy [don’t know his name], I’d be lawyering up right now, even though Lissu didn’t specifically mention his name, but in my view, the description he gave is sufficient enough to know who he was talking about.

I don’t know much about Tanzanian laws with regards to defamation and slander, but if I were the guy, I’d shoot my shot and sue the hell out of him.
You actually have no clue about any law, let alone "Tanzanian law."

Aiseee, upo mtupu kiasi hiki kichwani?

What a revelation you have made!
 
kama unayeamini kuwa ni mtesi wako anafariki mbele ya macho yako,unatakiwa kupiga magoti na kusali umwombee msamaha kwa Mungu.maana kwa imani ameshuhudia ukuu wake.

kinyume na hapo ndio kiwewe kama alicho nacho wakili msomi.
Bado yuko Spika
 
Hapo we ndo unaropoka, kisheria wewe una hatia. Rais ana mlinzi mmoja tu. Kwa hili umechemka mkuu, umeingia kwenye mtego.
Tangu asubuhi niliona Kuna watu walikuwa wanaongelea hiyo Hoja as if Mlinzi wa raisi ni 1 nikashangaa Sana aisee [emoji16][emoji16]
 
Haahaa aliyekata tamaa mbona kashazikwa chato
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ex04JNYWEAENyaK.jpg
 
the prophet of Sodom culture can't be taken seriously, alishapoteza uhalali sometimes ago.
 
Unajua mkuu wabongo wengi comprehension zao ni below margins!

Hebu fikiria huyo kilaza anajumuisha kwanza kisha anakuja uliza swali chini kutaka ujumuisho!

Anamhukumu mwenzie kwa chuki huku akimtuhumu huyo huyo kuwa ana chuki!

Shida ni kwamba hawa pakashume hawana akili za kuanzisha mada kisha wakaweza ficha upuuzi na hisia zao.

Mfano huku chini ameonesha wazi wazi kuwa na chuki na alimwenzishia uzi halafu anataka kujifanya yupo neutral!!

Hawa ndio wanawafanya waafrika wenzao waonekane ni Nyani!
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna raha duniani kama kushuhudia kifo cha adui yako that's all.

Kwa vyovyote mtakavyojifariji yule malaika wa chuki na giza aliyezikwa kichawi huku mkimuita Mungu alishindwa iokoa nafsi yake akafia mbali...

Yes kila mtu atakufa lakini kuna vifo vya wengine hushangaza na kuleta furaha sana!
True kabisa [emoji419]

Hakuna raha Duniani kama kushuhudia kifo Cha adui yake tena yule adui ambaye alitaka kukuua na kukufanyia vitimbi kibao vya kukujeuri kiuchumi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Exv3BrmXEAsy1GK.jpg
 
Mkuu kumbe Jiwe alizikwa kichawi [emoji848][emoji848]
Au ndiyo maana walikuwa hawatuonyeshi kinachoendelea nini??
" Mtangulizeni Mungu mbere"
Mungu hadhihakiwi aisee
Yeah alizikwa kishirikina
 
Kama hii ya kwako ya Ku google acha iwe problem. English nayoihitaji ni ya Nyani Ngabu,Kiranga au Prof Lumumba.
Ohoo dear. Nyani Ngabu ndiyo expert wako wa english. Lumumba ndiyo Expert wako wa english? Nafwaa! Kumbe wewe naye ni m-local mmoja tu asiye na exposure mimi nilidhani nachati na mtu anayejielewa!
 
nakumbuka kwenye ile show ya mwanzo,host tu alimkaba kwa maswali magumu mpaka nikapanick namimi[emoji16][emoji16][emoji16].

alimuuliza wewe ni mwanasheria kwa taaluma,inakuwaje unadhania jambo na kumtuhumu mtu kuhusika na madhira yako,pasi na ushahidi wa wazi kabisa??huoni kwamba unakiuka misingi ya kisheria??mwamba povuuuu.

Na ni swali hilo hilo kaulizwa tena jana badala ya kujibu swali akaanza povu lake la “.....:my sources.....:” blah blah.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni kweli he seems confused
Mwanzoni nilikuwa namshangaa amekuaje
Lakini nadhani anahitaji msaada,bado ana uchungu sana ila jinsi anavyo pambana na huo uchungu inaonekana kama anapotea
Ukweli ni kwamba asipokuwa makini anajimaliza kisiasa mwenyewe,atafika stage watu watampuuza
Msaada wa nyoko !? Yaani mtu Ampige risasi 16 kwa lengo la kumuua halafu baada ya kunusurika na umauti aanze kukaa na kukusifia baada ya wewe kufa !!! Umeshawahi kuona wapi !? Ingekuwa wewe ungeweza !!? Au mnaleta unafiki wenu tu hapa

Kuna wengine mpo humu mnamponda lissu wakati mpaka dakika hii mnayo post post hapa Kuna watu walikuwa marafiki /jamaa zenu /ndugu hamuongei nao na kisa Cha kutoongea nao waweza kukuta ni kwa sababu waliwa dhulumu 500k tu au waliwachukulia wapenzi wenu !?? Je Hali ingekuwaje kama mngepigwa risasi kama alivyo fanyiwa lissu sindio mngepindua Nchi kabisa


Wataanzania ifike mahali tuache unafiki sio Jambo jema kiwango Cha unafiki kimefikia hatua kubwa Sana hii haipendezi kabisa [emoji419] shame on you
 
Walinzi wote waliokuwa wakisimama nyuma ya hayati JPM wapo bukheri wa afya.
Sasa tukisema Lisu ana matatizo ya akili,wanakataa.
Ndo huyu Lisu alitaka awe Rais wa Tanzania[emoji3]
Kwani wewe unamuona huyo marehemu wenu jiwe au mzee meko alikuwa sawa kabisa kiakili??
 
Back
Top Bottom