Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]harafu huyo huyo Lissu ndiye aliyeutangazia ulimwengu juu ya kuugua na hatimae kifo cha Jiwe wakapinga na kumdhihaki leo anasema mlinzi wake kafa wanabisha tena
Akili hawana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wanachambua Mambo kwa mihemko tatizo hawatumii mantiki [emoji16][emoji16][emoji1732]
 
What God did to your pompous man and Lissu justifies who righteous was. Imagine 16 bullets never killed a righteous person but just a flue and an electric shock of 0.0001 voltage killed a bad man.

Current kills, NOT the voltage!
 
Ohoo dear. Nyani Ngabu ndiyo expert wako wa english. Lumumba ndiyo Expert wako wa english? Nafwaa! Kumbe wewe naye ni m-local mmoja tu asiye na exposure mimi nilidhani nachati na mtu anayejielewa!

Mimi “sichat” na mtu hapa,ninachangia mada husika,maswala ya kuchat nenda kachat na mkeo/Mumeo huko.Unachat na mtu usiyemfahamu,wewe vipi,hebu acha kuneng’eneka na watu usiwafahamu.
 

Naamini Rais hulindwa na zaidi ya (watu) bodyguards 12 ndani ya maduara ya ulinzi unaomzunguka kwa karibu kabisa Rais. Wanne duara la nje, 4 duara la kati na 4 duara la ndani kabisa.

Katika picha hii kiongozi mkuu wa ma bodyguard / ulinzi ni huyo mwenye suti ya bluu kabisa ambaye pia yumo ktk mchoro mwekundu anayewatupia jicho na anayehakikisha walinzi wote ktk maduara hayo wapo ktk sehemu husika na fomesheni sahihi pamoja na kumsimamia bodyguard huyo aliye karibu kabisa na rais aliweka mkono wake kifuani.

Sasa Tundu Lissu anaweza akawa anamuelezea huyo mwenye suti ya bluu kiongozi wa ma bodyguard na siyo huyo unayemdhania mwenye suti ya blue nyeusi aliye karibu kabisa na rais siku zote.

Kumbuka pia hapa hatujawazungumzia wengine wasioonekana ambao hawamo ktk miduara hiyo na wale wenye sare za kijeshi wenye mabunduki.
 

You're analysis significantly at great thinkers ranked

Thanks
 
1 Pigwa Risasi 2 kosa kataliwa fedha za matibabu kosa 3 Nyang'anywa Ubunge Kosa

Makosa matatu halafu usamehe kijinga? hebu acheni upuuzi.
Unafikiri kusamehe ni ujinga? Haya yeye hajasamehe ni nini anachokipata zaidi ya kuendelea kujitesa maana huyo mbaya wake keshakufa na yeye hakuweza kumfanya lolote hata kofi hakufanikiwa mkupiga bado tu yeye kabaki na mihasira yake inamtesa.
 
hapo Kalamu 1 unakosea na unaonesha hasira zako kwa Mleta mada
Hii taarifa huko VOA ni ya Tundu Lissu mwambie anyamaze basi kwani Hayati Magufuli alishazikwa huko Chato
sisi hapa tuache na huyo Lissu kwani mengi alishatusaliti, kutuambia tutashtakiwa, mara tumlipe Kabaila ndege zake, hapo nani anyamaze?
 
Zitto na Mbowe hawajawahi kuguswa na risasi mwilini
Lissu has to rethink nini hasa anahitaji katika Tanzania. Yes ana bitter experience with Magufuli but now anatumika vibaya


Zitto and Mbowe are the smartest political figures kwa sasa they know how to act kutokana na wakati.
 

Lissu amekwambia mlinzi aliyekufa ni huyo unaye msema wewe?

Kweri nyani kama nyani kweri kweri.

Hiiiiii!
 
sio nifungue nisikilize tu, mimi niliipakua, mjadala mzima ninao kwa device yangu na sijaona ALIPOMTAJA .
ama, unamaanisha nini unaposema ALIMTAJA ?.,
ikiwa ALIMTAJA , huu mjadala usingelikuwepo..
hicho unachokihita KUTAJA ni Assumptions zako tu.
Lissu amekwambia mlinzi aliyekufa ni huyo unaye msema wewe?
Kweri nyani kama nyani kweri kweri. Hiiiiii!
Hata Comedian wana assumption zao kuwa mropokaji huenda akili haipo sawa

cc Course Coordinator

Your browser is not able to display this video.
 
Lissu akisikia jina la Magufuli kichaa kinapanda...na humu imejaa misukule yake kumtetea... Inamaneno machafu kwa sababu inatumia makalio kufikiri.

Ukiuliza wakupe ushahidi wa mume wao kumzushia mwendazake wote ni speculation kisa shoga kaongea wao wanafuata mkumbo.
 
Ndugu Lisu amejaa stress za Risasi na uchungu mkubwa sana anachojaribu kufanya ni kisasi tu kwa kuongea na ni kwasababu hana Dora ,Ila sisi tunamkaribisha ntumbani anavyo vikesi vichache vya kujibu arudi tu.
 
Hata kama hajataja jina. Maelezo aliyoyatoa yanaelekeza kwa huyo jamaa.

Lissu ni mropokaji mno.
Hovyo sana ww nilidhani baada mhutu🐵meko wenu kunyakuliwa na Corona akili zingewarudi kumbe bado
 
Ahsante.....
 
Zitto na Mbowe hawajawahi kuguswa na risasi mwilini
Ndio inabidi atumie akili sana kama anataka kua prominent political figure kwa upinzani kuendeleza chuki haimsaidii chochote Magufuli is gone.
 
Kumbuka pia hapa hatujawazungumzia wengine wasioonekana ambao hawamo ktk miduara hiyo na wale wenye sare za kijeshi wenye mabunduki.

But Lisu alisema “that guy you see behind the President not that Military Man the other guy.....”
Maana yake alimaanisha ni Body guard anayeonekana. Najua hii imekuwa ngumu sana kwenu kutetea.
 
Lissu anahitaji msaada wa Mwanasaikolojia. He's been through a lot and so has been severely traumatized.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…