Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

CCM ni chama chenye kufanya na kuendesha siasa za kistaarabu.tofauti na CHADEMA ambao hufanya siasa za chuki ,vurugu na kupandikiza uhasama na kuchochea ubaguzi.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu
 
Mwaka unakaribia Keisha,Leo ndio nimeiona umenena points!Hayo ndio mageuzi ya fkra.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu
CCM inapita na kushinda Uchaguzi kwa nguvu ya hoja na ushawishi wa kisera .tofauti na vyama kama CHADEMA havina uwezo hata wa kuandaa ilani yake.
 
siasa za lisu ni kama zinashabiyana na matendo ya kigaidi
 
Angekua siyo adui mngelimchapa Risasi 38? Na 19 kumuingia
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Kwa papai kama wewe ndiye unajidanganya hivyo, hatuhitaji tume toka nje tunataka Tume huru, Katiba mpya na uwanja sawa wa kufanya siasa.
 
Kwa papai kama wewe ndiye unajidanganya hivyo, hatuhitaji tume toka nje tunataka Tume huru, Katiba mpya na uwanja sawa wa kufanya siasa.
Kama ilani tu ya uchaguzi mnashindwa kutengeneza ni vipi mnaweza kuwashawishi watu wenye akili Timamu wawape kura za ndio?
 
Kama ilani tu ya uchaguzi mnashindwa kutengeneza ni vipi mnaweza kuwashawishi watu wenye akili Timamu wawape kura za ndio?
Hiyo ya kwenu ambayo kila mwaka mnakiri kuwa haitekelezeki ina faida gani zaidi ya kuwa ni utapeli na hadaa tu kwa wapiga kura?
 
Kwanza kwa comment hii unatakiwa upigwe tena Ban ya mwaka mzima mpaka ushike adabu
Nimeshakuambia kuwa mimi naingia humu kama burudani tu tofauti na wewe ambaye unafanya hapa ndiyo sehemu ya kupatia mkate wako wa siku. Ukifungiwa wewe utakufa njaa, papai wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…