Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya yenye amani, umoja, upendo na mshikamo.
Lakini pia Tundu Lissu alionekana kuwa na imani kubwa na Rais Samia Suluhu alisema
"Aliyeumiza nchi hii ameshaondoka, aliyepo amesema tuzungumze, mazungumzo ni jambo jema. Ameacha kutuwinda kama alivyokuwa mtangulizi wake, amefungulia watu wetu wengi waliokuwa wamefungwa gerezani" .
Hii inathibitisha kuwa Rais Samia Suluhu anaishi maneno yake ya kwamba Sisi ni watanzania bila kujali itikadi zetu tuungane kujenga Tanzania moja.
Wew ukichomwa sindano tu kwenye hilo tako lako kubwa unaliia,mwenzio alipgwa risasi 16 mwilini eneo lenye ulinzi 24/7. Ila siku ya tukio walinzi hawakupangiwa hilo rindo
Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya yenye amani, umoja, upendo na mshikamo.
lakini pia Tundu Lissu alionekana kuwa na imani kubwa na Rais Samia Suluhu alisema
"Aliyeumiza nchi hii ameshaondoka, aliyepo amesema tuzungumze, mazungumzo ni jambo jema. Ameacha kutuwinda kama alivyokuwa mtangulizi wake, amefungulia watu wetu wengi waliokuwa wamefungwa gerezani" .
Hii inathibitisha kuwa Rais Samia Suluhu anaishi maneno yake ya kwamba Sisi ni watanzania bila kujali itikadi zetu tuungane kujenga Tanzania moja.
Mama samia ni geneous sana... sahivi nyinyi ndo mnampa kampeni kwenye majukwa yenu... mpaka 2025 mtakua hamna ajenda zaidi ya kumsifia.. mshapigwa bao hapo lazima mlegee