Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Anawajua wapenda uhuru,haki ,democrasia na maendeleo ya kweli.Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .
Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?