Anawajua wapenda uhuru,haki ,democrasia na maendeleo ya kweli.Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .
Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Bora yupu akina mganga au huyo.Kwaiyo Hosea nae alipendekezwa na Lisu,Hosea huyuhuyu?
Basi mnasafari ndefu sana na Lisu wenu!
Hiyo TLS yenyewe ina impact gani kwa jamii?
Ulitegemea afanye Jambo gani na hakulifanya.Huyo Hosea ni muhuni kama wahuni wengine tu wa ccm. Sielewi watu wanamkubali kwa lipi, wakati alikuwa kwenye taasisi nyeti ya nchi na hakuwa na jipya lolote.
Wewe huna unalolifahamuBack to Miga hoax...
Alikuwa analinda maslahi yake..
Tunafahamu zaidi
Tayari ushampaAcheni kumpa airtime huyu shavu dodo lissu,hana jipya huyo
Wewe huna unalolifahamu na wala haupo katika nafasi ya kufahamu mambo ya maana, ni moja ya wajinga tu katika Taifa hili
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Mjinga si tusi, ni kutojua. Ukishajua lakini bado unajitoa akili tunaita upumbavu. Akasema tena upumbavu nao ni kipaji. Sasa ninavyoona pamoja umri wako una upumbavu mwingiWakubwa hatutukani... sasa ukikuwa ongea namimi nikupe fact...
Aliwasumbua sana wazungu machimboni... wazungu wakauliza can we buy him or eliminate him? Akafika bei.
Magu anakamata containers yeye anakasirika ana mtukana[emoji16][emoji16]
Rahisi amefanya maamuzi ya kijinga sana....tutashtakiwa Miga... shtyupid.
Scare tactic...
Sikutukani boss am too old[emoji16][emoji16]
Magu bwana. Aliona Tundu lissu ni threat kwenye mioango yake ya ufisadi na wizi. Kiko waoi sasa TL anakula bata yeye sasa hivi anaoza.Back to Miga hoax...
Alikuwa analinda maslahi yake..
Tunafahamu zaidi
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Mjinga si tusi, ni kutojua. Ukishajua lakini bado unajitoa akili tunaita upumbavu. Akasema tena upumbavu nao ni kipaji. Sasa ninavyoona pamoja umri wako una upumbavu mwingi
Magu bwana. Aliona Tundu lissu ni threat kwenye mioango yake ya ufisadi na wizi. Kiko waoi sasa TL anakula bata yeye sasa hivi anaoza.
Tundu Lissu ni aina ya watu kama,"Steve Biko na Martin Luther King Jnr".Baada ya Nyerere mzalendo wa kweli mwingine ni TL. Asikudanganye mtu.
Unataka tumpe airtime Jiwe aliyejaza wasukuma wenzake kila idara nyeti?Bila shaka wewe ni Sukuma Gang!Acheni kumpa airtime huyu shavu dodo lissu,hana jipya huyo
Naona chadema wanaushawiwi mkubwa SanaCCM kila wakati huangukia pua na mgombea wao..
Umemtowa wapi tena huyu mkuu?Fatuma Karume , Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea , hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono .
Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika ?
Ni mzalendo wa kweli,si yule aliyejiita "mzarendo".Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Kama unaweza kusema zezeta ni mtu smart, hapo mimi umeniacha njia panda!Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.
Labda smart kwa pale wodi ya mirembe,mzalendo gani aanayekimbia nchi yake na kuishi ugenini?Mimi ni CCM ila Tundu Lissu ni moja ya watu smart sana, mzalendo hasa. Huyu sio raia tu wa kawaida atakuwa 'Mzalendo aliyepikwa'. Huyu ndiye aliye sacrifie maisha yake kwa ajili ya Watanzania. Ana miiko, maadili na misimamo.