jana aliulizwa,Inaonyesha akina Maria Sarungi ndio washauri wake .watu ambao nao wamejikatia tamaa na kuishi kitapeli tapeli na kutoa vihabari vya kizushi na uongo uongo tu .umbea ndio kazi yao kubwa.sasa unategemea Lissu atatoa wapi akili za kuweza kujieleza na kueleweka mbele za watu wenye akili Timamu
Anampa za uso mbowe. Sema kwa vile huna akili unaona anampa za uso samiaKwakuwa anampa za uso Chura kiziwi ndio maana una hasira nae?
Wewe ndio huna akili na una mtindio wa ubongo.Anampa za uso mbowe. Sema kwa vile huna akili unaona anampa za uso samia
awali ni awali tu gentleman,Lissu amekata tamaa ndiyo.
Wagonbea wengi sana wa Chadema wameenguliwa.
Lissu anaulizwa,"Twende mbele au sasa tufanye nini?"
Lakini kwa nini unaongea kuhusu kugombea urais wakati sasa hivi Uchaguzi wa Local Government ndio muhimu zaidi kufikiria?
Chadema must unite now.
CCM wameahidi kwamba waliyoenguliwa watakuwa reinstated.
Lakini ahadi ya CCM siyo ya kutegemea sana.
Samia si ndio Rais?
Aseme tu mataahira waliojitokeza kugombea uongozi waruhusiwe.
Watu wote wamekaribishwa kuchukua fomu za uongozi.
Kama mataahira to wamechukua fomu ni kosa la nani?
Tamisemi labda watarudisha hao waliyoenguliwa,labda hawatawarudisha.
Chadema lazima iamue la kufanya.
But now the Party must unite.
Maswala ya nani awe mgombea urais mtajadili baadaye.
Gentleman,Hapa Duniani, kama umezaliwa na Uwezo mkubwa wa Akili, LAZIMA UTAKUA NA KILA KITU ALICHO NACHO TUNDU LISSU.
utachukia Kuonea,kuonewa , dhuluma, Rushwa, ufisadi, na Kila jambo linalotezwa utu na hali ya mwanadamu.
Zingatia sana, UKIWA NA AKILI .
Mimi kazin kwetu, Watumishi wajinga wavivu, wazembe, ambao mtaji wao ni majungu, uchawi, wananichukia ivoivo kama wewe usivyompenda LISSU.
For sure akiondoka chadema, ataondoka yeye na yeye pekeeyake.Lisu ni mtu pekee aliyebaki kuwa matumaini ya chadema,akiondoka ,hata
Hivyo wwni mtu usiyejitambua kabisa au uchawa unakusumbua leo akiondoka Lisu hakuna tena chadema
huo ndiyo ukweli mtupu,Yaani kuna maandiko ukisoma kichwa unatamani usome kwa leongo la kukutana na point zenye mashiko ukimaliza kusoma unasonya πππππ ndio sawa na hili sasa hapo maswala ya mavazi yanakujaje mimi hata kama simkubali Lisu lakini hapa umezingua mbona sisimu wengi tu wanazulula na mishati ya kijani tuacheni uchawa wa kijinga
Lissu ndio mwanasiasa pekee pale chadema mwenye akiliUkiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni.
Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi analalamika, akiulizwa swali anajibu kwa kulalamika. Ni mtu asie na maono na aliepoteza si tu matumani bali pia uelekeo, yaani bora liende lolote na liwe.
Ni mtu wa kukata tamaa mapema sana, aliejawa na mambo mengi mno moyoni na akilini, na haelewi lipi lianze na lipi lifuatie kulisema au kulipambania.
Muungwana yuko alosto.
Kuanzia sura na hata maneno anayozungumza ni kama hadaa tu, na kwamba kabisa haaminiki na wala hana ushawishi. Mara zote anayoyazungumza Lisu huishia hapo hapo alipokua akizungumza na hupotea na kukosa maana siku hiyo hiyo aliyozungumza. Kiufupi muungwana hakubaliki kwa sehemu kubwa sana ndani ya chama chake na haeleweki kabisa nje ya chama chake.
Mtu amebakiza humu nchini, shati 2, tisheti 3 na suruali2 tu za kuvaa na zaidi sana anaijificha na kujisitiri na mavazi ya chama kwa kuwahadaa watu kwamba ni mzalendo kumbe hana nguo za kuvaa, huku vitu vingine vyote pamoja na familia wakiwa ughaibuni, anaweza kuaminikaje hata kwenye chama chake mtu wa aina hii ndrugo zango?
Naiona fedheha ikimpata Lisu kwa wakati muafaka. Ni wazi hatapewa fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu2025, kupitia chadema kwa sababu ya mashaka dhidi ya uzalendo wake kwa chama na nchi kwa ujumla. Na endapo atapewa fursa hiyo, basi atahujumiwa vizuri sana na kwa ustadi mkubwa, ili awe embarrassed viizuri sana baada ya matokeo ya uchaguzi.
Kiujumla chadema patriotics, hawatakubali chama chao kua painted kama chama cha vibaraka licha ya kwamba ni mtu moja tu ndio kibaraka na msaliti kwa chadema na Tanzania kwa ujumla π
Mungu Ibariki Tanzania
Mamako, Mume wako, watoto wako, mmwanaumee wako wa nje, na ndugu wengine ukijumlisha unapata upeo wa akili wa Tundu Lissu.π€£πππUkiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni.
Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi analalamika, akiulizwa swali anajibu kwa kulalamika. Ni mtu asie na maono na aliepoteza si tu matumani bali pia uelekeo, yaani bora liende lolote na liwe.
Ni mtu wa kukata tamaa mapema sana, aliejawa na mambo mengi mno moyoni na akilini, na haelewi lipi lianze na lipi lifuatie kulisema au kulipambania.
Muungwana yuko alosto.
Kuanzia sura na hata maneno anayozungumza ni kama hadaa tu, na kwamba kabisa haaminiki na wala hana ushawishi. Mara zote anayoyazungumza Lisu huishia hapo hapo alipokua akizungumza na hupotea na kukosa maana siku hiyo hiyo aliyozungumza. Kiufupi muungwana hakubaliki kwa sehemu kubwa sana ndani ya chama chake na haeleweki kabisa nje ya chama chake.
Mtu amebakiza humu nchini, shati 2, tisheti 3 na suruali2 tu za kuvaa na zaidi sana anaijificha na kujisitiri na mavazi ya chama kwa kuwahadaa watu kwamba ni mzalendo kumbe hana nguo za kuvaa, huku vitu vingine vyote pamoja na familia wakiwa ughaibuni, anaweza kuaminikaje hata kwenye chama chake mtu wa aina hii ndrugo zango?
Naiona fedheha ikimpata Lisu kwa wakati muafaka. Ni wazi hatapewa fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu2025, kupitia chadema kwa sababu ya mashaka dhidi ya uzalendo wake kwa chama na nchi kwa ujumla. Na endapo atapewa fursa hiyo, basi atahujumiwa vizuri sana na kwa ustadi mkubwa, ili awe embarrassed viizuri sana baada ya matokeo ya uchaguzi.
Kiujumla chadema patriotics, hawatakubali chama chao kua painted kama chama cha vibaraka licha ya kwamba ni mtu moja tu ndio kibaraka na msaliti kwa chadema na Tanzania kwa ujumla π
Mungu Ibariki Tanzania
Wanaozungumziwa ndio hao hao wadau bila kujali ni wa mrengo gani ili mradi wanatugusa watanzanua na chaguzi au hata kama iwe chafuzizingatia wanaozungumzwa kwenye hoja ya msingi gentleman, ili twende sawa na wadau π
kwamba ndrugu zango wawe watu wa kuoamba omba kuchangiwa?Mamako, Mume wako, watoto wako, mmwanaumee wako wa nje, na ndugu wengine ukijumlisha unapata upeo wa akili wa Tundu Lissu.π€£πππ
Uchawi kazini?ambao mtaji wao ni majungu, uchawi
Chawa, Habari,Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni.