Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni.

Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi analalamika, akiulizwa swali anajibu kwa kulalamika. Ni mtu asie na maono na aliepoteza si tu matumani bali pia uelekeo, yaani bora liende lolote na liwe.

Ni mtu wa kukata tamaa mapema sana, aliejawa na mambo mengi mno moyoni na akilini, na haelewi lipi lianze na lipi lifuatie kulisema au kulipambania.
Muungwana yuko alosto.

Kuanzia sura na hata maneno anayozungumza ni kama hadaa tu, na kwamba kabisa haaminiki na wala hana ushawishi. Mara zote anayoyazungumza Lisu huishia hapo hapo alipokua akizungumza na hupotea na kukosa maana siku hiyo hiyo aliyozungumza. Kiufupi muungwana hakubaliki kwa sehemu kubwa sana ndani ya chama chake na haeleweki kabisa nje ya chama chake.

Mtu amebakiza humu nchini, shati 2, tisheti 3 na suruali2 tu za kuvaa na zaidi sana anaijificha na kujisitiri na mavazi ya chama kwa kuwahadaa watu kwamba ni mzalendo kumbe hana nguo za kuvaa, huku vitu vingine vyote pamoja na familia wakiwa ughaibuni, anaweza kuaminikaje hata kwenye chama chake mtu wa aina hii ndrugo zango?

Naiona fedheha ikimpata Lisu kwa wakati muafaka. Ni wazi hatapewa fursa ya kugombea urasi uchaguzi mkuu2025, kupitia chadema kwa sababu ya mashaka dhidi ya uzalendo wake kwa chama na nchi kwa ujumla. Na endapo atapewa fursa hiyo, basi atahujumiwa vizuri sana na kwa ustadi mkubwa, ili awe embarrassed viizuri sana baada ya matokeo ya uchaguzi.

Kiujumla chadema patriotics, hawatakubali chama chao kua painted kama chama cha vibaraka licha ya kwamba ni mtu moja tu ndio kibaraka na msaliti kwa chadema na Tanzania kwa ujumla 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chawa hivi mama yenu Yuko wapi?
 
Siasa za Africa huwa zinatengeneza makundi matatu

Viongozi -hawa huwa wanakuwa na maisha mazuri na kupata privilege mbali mbali.

Wapiga kura - hawa ndo mtaji wa wanasiasa.

Wakereketwa - hawa ndo wale ambao huitwa chawa , mfano wa mtoa mada hawa kazi yao ni kueneza propanganda na kusifia watu ili kupata ulaji .


Na mwisho serikali huwa inatazama na kuwashambulia wale watu wote threat ili wasiwepo Kama sio kuwafunga ni kuwaua.

So hizi CCM sijui CUF mnabidi Kuwa Nazo makini Sana. Maana hizi ni Biashara za watu.
Tanzania siyo Afrika, ndio Maana CCM wao HAWAPIGIWI KURA lakini WANASHINDA.
Kama kuna makundi ungeongeza kundi la KUJITANGAZA bila kushinda.
 
Chawa, Habari,
Yule kakataa rushwa ya Abdul na mama yake, huyu ndo tunamtaka, kama ana mapungufu binafsi kama trump mifumo imara itamshape

Huyu ndo atatufaa uraisi 2025
Siku 100 za kwanza ataanzisha mchakato wa katiba mpya
kutetea ufirauni na na ndoa za jinsia moja pamemfanya kua useless kabisa aise dah, kumfananisha na Trump ni makosa makubwa mno gentleman 🐒
 
kutetea ufirauni na na ndoa za jinsia moja pamemfanya kua useless kabisa aise dah, kumfananisha na Trump ni makosa makubwa mno gentleman 🐒
Hayo wasema wewe chawa. Papa wenu kahalalisha kuwabariki mashoga sasa lissu ni nani kama kiongozi wa kanisa kubwa duniani kagalalisha
 
lakini aliwakosesha watu usingizi mpaka wakamuwekea copper mwilini kutokana na kushindwa kujibu hoja zake.
 
kwamba ndrugu zango wawe watu wa kuoamba omba kuchangiwa?

wawe watu wa kulalamika kama muungwana?

kweli ndrugu zango wakose hekima na busara na kufanywa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kweli gentleman?

with my deadbody haitawezekana kutumikishwa kizembe na mna hiyo. No, hapana aise, haiwezekani 🐒
U have written nonsense 🤔🤔
 
Slaa alishawahi saliti chama. Ni msaliti
Mbowe ni mlafi wa mali za chama na yeye ni mpokeaji wa hela za ccm tu, mfano hela za Lowasa, hela ambazo zinaingizwa kwenye chama kwa sasa.
Lissu amenusurika kuuwawa kwa maslahi mapana ya chama. Huyu ndio mzalendo halisi.
 
Back
Top Bottom