Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

Chawa hivi mama yenu Yuko wapi?
 
Tanzania siyo Afrika, ndio Maana CCM wao HAWAPIGIWI KURA lakini WANASHINDA.
Kama kuna makundi ungeongeza kundi la KUJITANGAZA bila kushinda.
 
Chawa, Habari,
Yule kakataa rushwa ya Abdul na mama yake, huyu ndo tunamtaka, kama ana mapungufu binafsi kama trump mifumo imara itamshape

Huyu ndo atatufaa uraisi 2025
Siku 100 za kwanza ataanzisha mchakato wa katiba mpya
kutetea ufirauni na na ndoa za jinsia moja pamemfanya kua useless kabisa aise dah, kumfananisha na Trump ni makosa makubwa mno gentleman πŸ’
 
kutetea ufirauni na na ndoa za jinsia moja pamemfanya kua useless kabisa aise dah, kumfananisha na Trump ni makosa makubwa mno gentleman πŸ’
Hayo wasema wewe chawa. Papa wenu kahalalisha kuwabariki mashoga sasa lissu ni nani kama kiongozi wa kanisa kubwa duniani kagalalisha
 
lakini aliwakosesha watu usingizi mpaka wakamuwekea copper mwilini kutokana na kushindwa kujibu hoja zake.
 
U have written nonsense πŸ€”πŸ€”
 
Slaa alishawahi saliti chama. Ni msaliti
Mbowe ni mlafi wa mali za chama na yeye ni mpokeaji wa hela za ccm tu, mfano hela za Lowasa, hela ambazo zinaingizwa kwenye chama kwa sasa.
Lissu amenusurika kuuwawa kwa maslahi mapana ya chama. Huyu ndio mzalendo halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…