Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.

Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.

Watanzania siyo wajinga.

Maendeleo hayana vyama!
 
MATAGA bana!

yaani hivi vijimaswali vya kindergarten ndiyo kweli vya kumuuliza akili kubwa Tundu Lissu?
 
Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa CCM ni watu wajinga

Ivi kwa Mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.

Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano. Kiwanda cha nguo Mbeya.
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba, Lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu.
 
T
Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa ccm ni watu wajinga.

Ivi kwa mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.

Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano..kiwanda cha nguo mbeya...
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu
Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.
 
Mmmh Leo ndo nimeamin ccm wasomi ni wachache na mtaji wa ccm ni watu wajinga ..
Ivi kwa mtanzania anaejielewa anaweza kushangaa habari ya viwanda kufa? Basi huyo atakuwa mwendawazimu.
Kwa taarifa yako tu kuanzia mwaka 1979 viwanda vingi vilianza kufa kwa sababu ya anguko la kiuchumi mfano..kiwanda cha nguo mbeya...
Ova...niwashaur vijana wa Lumumba lisu akiongea msiwe mnakurupuka kujibu ata kama mliagizwa na bashiru mana mtakuwa mnadharirika tu
Vitaje hivyo viwanda vya kufufua bwashee......povu halikusaidii!
 
Lumumba Wanajibu Lissu pasipo na kifikiri hata kidgo.

kwa nini Dr Bashoru ashindwe kujibu hadi awatume nyie?

FIKICHENI AKILI
 
T

Tupatie majibu ya ruzuku ya billion miatatu 300 imeifanyia nini?sasa MTU ofisi ya chama hameshindwa ataweza kuendesha nchi.

Hahaha hata sisiem wenyewe wenye wabunge wengi hawapati hiyo ruzuku
 
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.

Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.

Watanzania siyo wajinga.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe binti hujui viwanda gani vilikuwapo Morogoro?
 
Mwenzako alimradi awe Rais tu, mhurumieni Kwa kuwa Hana alijualo!
Mara atetee ushoga, mara kile, mara hiki, hajielewi baba wa watu!!

Ama kweli, Tanzania tumepatikana!
Tunamgombea wa ajabu haijapata Kutokea nchi hii

Kwani sasa hivi tz hakuna ushoga? Ameleta nani?
 
Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa.

Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu.

Watanzania siyo wajinga.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu jamaaa hajui kitu tayalii, yaaaniii anaponda ujenzi wa reli halafu anasisitiza ujenzi na ufufuaji wa viwanda, hivi anafikiri hizomaligafi zitapitia wapi kwenda kiwandani? Au bidhaa kwenda kwa watumiaji? Mh. Mbowe naomba ukae vizuri na mgombea wako ulietuletea. Kiukweli anakuaibisha we we na chama chako. Yaani hana mtririko wa kipi anataka kuwatumikia watanzania. Ni ushauli tuuu
 
We jamaa bwana
 
Back
Top Bottom